Nikweli nchii hii imewekwa kwa misingi ya kipagani...nivigumu kwa watu wa nchi hii kupiga hatua za kimaendelo nakupata baraka za mungu..nivyema kama tukipata viongozi wenye uwezo wa kudare kututoa katika makucha ya makafara ya wapagani kwa kufuta tambikio zte hzo za kipagani kama mbio za mwenge wa uhuru aka ibada ya mungu wa kipangani...upofu wa kimungu kwa kumkataa mungu tumepata rahana kama taifa.