Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ushasikia mtu anasema 'niko fiti kalikiti'? Ni kosa la kimatamshi tu limetoka kwenye neno la kiingereza 'Physically Fit'
Wakati unaendelea kushangaa nakuonesha maneno mengine ya kiingereza kwenye michezo. Unajua Marede, mtu akiwa tayari anasema Rede, neno la kiingereza 'Ready'
Si unajua ukitaka mtu asubiri unamwambia 'Po' ni neno la kiingereza hilo 'Pause'...
Endelea kushangaa...