Je, wajua neno Fitikalikiti ni kiingereza 'Physically Fit'

Je, wajua neno Fitikalikiti ni kiingereza 'Physically Fit'

Huko mbeya Tukuyu. Kuna sehemu inaitwa.

1. Kwa kiingereza Manufacturing soap.
Wao wanaita mafulasopo.

2. Kuna sehemu inaitwa Langberg.
Wao wanaita Langiboss.

3. Kunasehemu inaitwa council
Wao wanaita Kanseli.

Mambo ni mengi muda ni mchache.
Umetisha.

Mafulasopo
 
Kuna hili shakamsoba,check absorber,Ila Sina uhakika Sana,hahahah
shokamzoba; shock absorber
1665907333204.png
 
Kuna hili machinga,ikimaanisha matching gay
Hio ni upotoshaji tu umepotoshwa mpaka ukadhaniwa kwamba ni kweli..., Machinga, Chinga imetokana wale machinga wa mtwara kwa kufanya sana biashara hii mwanzo mwanzo kama vile tu omba omba alivyohusishwa na mgogo na msukuma matorori na mkala
 
kila lugha ina haya mambo hata English nayo ina mambo haya...,

Huku kuna mambo kama shofeli, demu n.k. nayo yametoka kwenye French Chauffeur na Madame
 
Hio ni upotoshaji tu umepotoshwa mpaka ukadhaniwa kwamba ni kweli..., Machinga, Chinga imetokana wale machinga wa mtwara kwa kufanya sana biashara hii mwanzo mwanzo kama vile tu omba omba alivyohusishwa na mgogo na msukuma matorori na mkala
Ohhhhh,sawasawa kiongozi
 
Huko mbeya Tukuyu. Kuna sehemu inaitwa.

1. Kwa kiingereza Manufacturing soap.
Wao wanaita mafulasopo.

2. Kuna sehemu inaitwa Langberg.
Wao wanaita Langiboss.

3. Kunasehemu inaitwa council
Wao wanaita Kanseli.

Mambo ni mengi muda ni mchache.
Mafulasopo ni Kyela!! Njia ya Ipinda karibu na mbuga ya tenende
 
Back
Top Bottom