Je, wajua neno Fitikalikiti ni kiingereza 'Physically Fit'

Je, wajua neno Fitikalikiti ni kiingereza 'Physically Fit'

Nilisikiaga kipindi cha ukoloni/utumwa kulikua na vifo sana. Sasa kuna eneo maiti ndo zilikuwa zinabebwa kwenda kuzikwa. So wazungu wakawa wanawaambia babu zetu carry corps.. mpaka leo panaitwa Kariakoo. Sa sijui kweli 😆
 
Kuna "Maraiti" nayo, wanacheza kwa kuruka na kutua kenye vijumba/vibox vilivyochorwa chini. Vingine havitakiwi kukanyagwa pia ukitua usikanyage mistari.

Hii ni "Am I Right"?
"Maraiti"...." Yes"...."Maraiti"...."Yes"...."Maraiti"...."Noo"

Nimecheza sana huo mchezo hapo utanikuta na kisketi changu kimechanua cha kuzungusha, nishatoka shule begi limetupwa huko nawahi Maraiti [emoji1787][emoji1787]
 
stolowei...mateja wanalipenda sana hili neno....wapeni kizungu chake nikawaandikie ukutani kijiwen kwao
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Hii inaitwa kivyetu vyetu.
 
Back
Top Bottom