Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kuna "Maraiti" nayo, wanacheza kwa kuruka na kutua kenye vijumba/vibox vilivyochorwa chini. Vingine havitakiwi kukanyagwa pia ukitua usikanyage mistari.Ushasikia mtu anasema 'niko fiti kalikiti'? Ni kosa la kimatamshi tu limetoka kwenye neno la kiingereza 'Physically Fit'
Wakati unaendelea kushangaa nakuonesha maneno mengine ya kiingereza kwenye michezo. Unajua Marede, mtu akiwa tayari anasema Rede, neno la kiingereza 'Ready'
Si unajua ukitaka mtu asubiri unamwambia 'Po' ni neno la kiingereza hilo 'Pause'...
Endelea kushangaa...
Zamani hilo neno nilikuwa najua Kiswahili jinsi linatamkwa... madakesi, nikajua baadae sana“Wewe mtoto usinitafutie (MADA KESI)” hii nayo ni MURDER CASE [emoji846]
Nyie mlikuwa mnasemaje, maana katika uchunguzi wangu najua kuna maneno yaliyotoholewa kwenye kiingereza yanatofautiana kimatamshi kwa baadhi ya maeneo nchiniNi fitikalifiti au fitikalikiti ?!!!
Au wewe ndio uskani ulikuwa unaita uskanyo ?
Ni shock absorber mkuu.Kuna hili shakamsoba,check absorber,Ila Sina uhakika Sana,hahahah
Matching guy...sio kama ulivoandika bossKuna hili machinga,ikimaanisha matching gay
shockcheck