Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Umetisha.Huko mbeya Tukuyu. Kuna sehemu inaitwa.
1. Kwa kiingereza Manufacturing soap.
Wao wanaita mafulasopo.
2. Kuna sehemu inaitwa Langberg.
Wao wanaita Langiboss.
3. Kunasehemu inaitwa council
Wao wanaita Kanseli.
Mambo ni mengi muda ni mchache.
shokamzoba; shock absorberKuna hili shakamsoba,check absorber,Ila Sina uhakika Sana,hahahah
Hio ni upotoshaji tu umepotoshwa mpaka ukadhaniwa kwamba ni kweli..., Machinga, Chinga imetokana wale machinga wa mtwara kwa kufanya sana biashara hii mwanzo mwanzo kama vile tu omba omba alivyohusishwa na mgogo na msukuma matorori na mkalaKuna hili machinga,ikimaanisha matching gay
Hiyo ndo naskia leo pamoja na kukaa miaka yote hapoKawe = cow way
hahahahaHiyo ndo naskia leo pamoja na kukaa miaka yote hapo
Shakamsoba = shock absorberKuna hili shakamsoba,check absorber,Ila Sina uhakika Sana,hahahah
Asante kiongoziNi shock absorber mkuu.
DAAA,sijawahi kujuaKawe = cow way
Asante mkuu,hii lugha gonganaMatching guy...sio kama ulivoandika boss
Shukrani sanashokamzoba; shock absorber View attachment 2388833
Shock absorberKuna hili shakamsoba,check absorber,Ila Sina uhakika Sana,hahahah
Ohhhhh,sawasawa kiongoziHio ni upotoshaji tu umepotoshwa mpaka ukadhaniwa kwamba ni kweli..., Machinga, Chinga imetokana wale machinga wa mtwara kwa kufanya sana biashara hii mwanzo mwanzo kama vile tu omba omba alivyohusishwa na mgogo na msukuma matorori na mkala
Ni shock up absorberKuna hili shakamsoba,check absorber,Ila Sina uhakika Sana,hahahah
Mafulasopo ni Kyela!! Njia ya Ipinda karibu na mbuga ya tenendeHuko mbeya Tukuyu. Kuna sehemu inaitwa.
1. Kwa kiingereza Manufacturing soap.
Wao wanaita mafulasopo.
2. Kuna sehemu inaitwa Langberg.
Wao wanaita Langiboss.
3. Kunasehemu inaitwa council
Wao wanaita Kanseli.
Mambo ni mengi muda ni mchache.