Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Hii hapa!Jadili hoja
Weka picha ya Chama
Hapo kwenye cheni ya German Shepherd umewamaliza hawa mbwa kutoka kule bondeni mafurikoni.MEDALI BILA KOMBE NI SAWA NA ZILE CHENI WANAZOVESHWA GERMAN SHEPHERD.
NB:WANAMWIKO NYUMA FC Hakuna michuano hakuna michuoano inayoitwa CAF semeni muna hirizi za michuno ya LOOSERS.
Hapana mkuu ... something is better than nothingMedali bila kombe ni kama shanga za bi mkubwa wako Hazina maana kwenye mpira .Hivi umewahi kusikia timu fulani ina medali ngapi?Bwana mdogo jaribu kukua najua ni hormones za kubalehe zinakusumbua.
Makolo walipofika fainali ya abio cup hawakupewa medalSasa medali si kama bwana harusi kuweka utepe kwamba huyu ndo bibi harusi wangu niliyemla siku hii ndo wanakupa medali za sillver kama ukumbusho[emoji1][emoji1][emoji2]
Zinaandikwa na mwaka kabisa ili kuepuka matapeli na rekodi inawekwa kwenye vitabu kwamba mwaka flani Dar young Africans ndo alikua kubwa la mabibi harusi na aliliwa na bwana Usm Alger
Na mtoto (kombe) huwa napiga picha na baba yake akiwa amembeba mama anaachwa apumzike[emoji1787][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]
Kolo wanahamisha madaHajazungumzia mafanikio ya timu.
Kazungumzia mafanikio ya mchezaji binafsi. Hata akina Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwa wanapiga picha na medali zao shingoni. Lete picha ya Chama na medali ya CAF[emoji3][emoji3]
Leta picha ya Chama akiwa na medalTimu zinajivunia Makombe nyie mnajivunia medali tena za kombe la waliofeli CAFCL .Mkiambiwa hamna akili uko utopoloni mnarefusha midomo .View attachment 2792685
Weka picha ya Chama akiwa na medaliHii hapa! View attachment 2792706
AaaaahaaaTaga na ww mkuu[emoji23]
Nikunyang'anye majukumu yako ya asili?Unataka nifikishwe ustawi wa jamii?Taga na ww mkuu[emoji23]
Mkuu, mbona nimeiweka hapo juu ,post namba #22Weka picha ya Chama akiwa na medali
Kwa hio??Kinachowauma Mashabiki wa Simba ni kwamba Ngushi na Johora Wana [emoji966] medali ya CAF halafu chama Ana medali ya ngao ya jamii kweli ma gap hayataisha[emoji28][emoji120]
Ukitaka Kujuaa Ugumu Wa Kupata Medali Ya CAF Waulize Simba Watakwambia [emoji23]View attachment 2792336
Medali wanazo hadi wakongwe kina Mwameja na Masatu, enzi hizo wee ulikuwa bado unaeleaMedal [emoji1628] ndo kitu muhimu