Je wajua: Ngushi na nkane Wana CAF medal ila Chama ana medal ya ngao ya jamii

Je wajua: Ngushi na nkane Wana CAF medal ila Chama ana medal ya ngao ya jamii

Medali bila kombe ni kama shanga za bi mkubwa wako Hazina maana kwenye mpira .Hivi umewahi kusikia timu fulani ina medali ngapi?Bwana mdogo jaribu kukua najua ni hormones za kubalehe zinakusumbua.
Hapana mkuu ... something is better than nothing
 
Sasa medali si kama bwana harusi kuweka utepe kwamba huyu ndo bibi harusi wangu niliyemla siku hii ndo wanakupa medali za sillver kama ukumbusho[emoji1][emoji1][emoji2]
Zinaandikwa na mwaka kabisa ili kuepuka matapeli na rekodi inawekwa kwenye vitabu kwamba mwaka flani Dar young Africans ndo alikua kubwa la mabibi harusi na aliliwa na bwana Usm Alger
Na mtoto (kombe) huwa napiga picha na baba yake akiwa amembeba mama anaachwa apumzike[emoji1787][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]
Makolo walipofika fainali ya abio cup hawakupewa medal
 
Hajazungumzia mafanikio ya timu.
Kazungumzia mafanikio ya mchezaji binafsi. Hata akina Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwa wanapiga picha na medali zao shingoni. Lete picha ya Chama na medali ya CAF[emoji3][emoji3]
Kolo wanahamisha mada
 
Back
Top Bottom