Albano Daud
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 215
- 246
Nimehuzunika mno kuona watu wanafanya kilimo bila kuwa na mafanikio kwa mda mrefu. Japokuwa watu wamejikita sana kwenye kilimo kwa mda mrefu lakini wameambulia kuchoka haswaa.
Lengo la uzi huu ni kuwashauri na kuwatia moyo wakulima kuwa wanao uwezo wa kulima nusu hekta na kuvuna gunia hamsini za mahindi. Cha msingi ni kuwasiliana na wataalamu wa kilimo.