wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Humu watu wanaweka nyuzi za kijinga ili washambuliwe na watu wengi. Mwisho wa siku aongeze points za humu JF.. Watu kama hawa dawa yao ni kuwasusia nyuzi tu. Am out.Ekari moja ni kama 4000m² na hapa mtu akipata sana gunia 26 sasa hiyo nusu hecta ni ndoto za alinacha kupata gunia 50