Albano Daud
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 215
- 246
Fuata ushauri wa wataalamu ndugu yangu.Hizi bangi muwe mnavuta mkiwa mmeshiba tena muwe mmechambua
Wataalam wa kuvuta banki.Fuata ushauri wa wataalamu ndugu yangu.
Nlimaanisha hekali nduguNimeshindwa kusoma ulicho andika.. Nataka kwanza unambie tofauti ya HEKTA na HEKALI. Tena unitofautishie kwa vipimo na sio porojo. Kama huwezi futa uzi cha, kaendelee kula banki.
Nilimaanisha hekali ndugu.Bila shaka unatambua kuna tofauti ya hekta na ekari
Mkuu tupe mahesabu yako mkuu, ili nasi tujue aliyevuta nani na aliyepuliziwa harufuHizi bangi muwe mnavuta mkiwa mmeshiba tena muwe mmechambua
Mimi nlimaanisha nusu hekari..Kukilusaidia nusu hekta ni sawa na mita za mraba 5000, ni sawa na ekari 1.24, kwa lugha rahisi nusu hekta ni sawa na ekari Moja na robo
Kuna watu wanaenda kulizwa hivi punde...Nimehuzunika mno kuona watu wanafanya kilimo bila kuwa na mafanikio kwa mda mrefu. Japokuwa watu wamejikita sana kwenye kilimo kwa mda mrefu lakini wameambulia kuchoka haswaa.
Lengo la uzi huu ni kuwashauri na kuwatia moyo wakulima kuwa wanao uwezo wa kulima nusu hekta na kuvuna gunia hamsini za mahindi. Cha msingi ni kuwasiliana na wataalamu wa kilimo.
Au ulimaanisha Hekaya??? Zile za abunuasi?Nlimaanisha hekali ndugu
Hicho kilimo mbegu zinakua na AI kwa ndani, au sio boss???Mimi nlimaanisha nusu hekari..
Hekta moja ni mita 100 kwa 100 au 10,000 sqmNusu hekta ni kipimo gani kwa mita? Na gunia hamsini za debe ngapi?
Nyie ndo mnafanya banki inaitwa madawa ya kulevya. Nimesoma sasa hii kitu najikuta nachrka mbele za watu. Mtakuja kutuua jamani, stimu zikizidi unaoga maji ya baridi unaenda kulala. Aiseeeee usirudie tena hii kitu.Lengo la uzi huu ni kuwashauri na kuwatia moyo wakulima kuwa wanao uwezo wa kulima nusu hekta na kuvuna gunia hamsini za mahindi. Cha msingi ni kuwasiliana na wataalamu wa kilimo.