Je, wajua? Pesa iliyotoa Qatar kuandaa Kombe la Dunia ni pato la Taifa Tanzania kwa miaka 3.5

Je, wajua? Pesa iliyotoa Qatar kuandaa Kombe la Dunia ni pato la Taifa Tanzania kwa miaka 3.5

Kujenga viwanja nane na hotel pamoja na hostel haziwezi kuvuka dola bilioni 15.

Uwanja mmoja ni kama dola milioni 500 kwahiyo vinane ni kama dola bilioni 4.

Sasa hapo nini kingine chenye gharama kubwa kuliko viwanja? Maana hoteli nyingi tayari zilikuwepo.
Mambo kibao yanafanyika.

Wamejenga miundombinu mingine ambayo itatumika baada ya wc kuisha.
 
Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa kombe la dunia lililotumia gharama zaidi tangu dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha kombe la dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha kwake. Vimejengwa mpaka viwanja na makazi yatakayobomolewa baada ya mashindano. Pato la Tanzania ni $ Bilioni 62 kwa mwaka.

Ni Tanzania inaweza kufanya na $ bilioni 220
  1. Ingejenga bandari ya Bagamoyo($ Bil 10) na kuepuka kuingizwa mjini na Mchina
  2. LNG plant($ Bil 30) na kutumia gesi kila sehemu kuondokana na utumwa wa kulipa mafuta nje
  3. SGR($ Bil 14) tungeifikisha Mwanza na Kigoma, kwa jeuri tugemjengea na Congo, akitoa mzigo wake Bagamoyo kituo cha kwanza Lubumbashi
  4. Deni la Taifa($ Bil 28) Tungelipa lote na bungeni tufocus kwenye kuongelea maendeleo maana mjadala wa deni la Taifa huwa unapoteza muda wakati tunaendelea kukopa
  5. Madarasa($ Bil 2) Tungeacha kwenda kumpigia goti mzungu eti kujenga vyumba vya madarasa
  6. BRT($ Bil 2) Tungejenga mwendokasi Dar nzima na kuwaonjesha Mwanza ikiwa na mabasi ya kutosha kama yale mekundu ya waingereza na kuachana na haya ya bluu tena Level seat yakiendeshwa na gesi ya bei nafuu
  7. Ile smelter aliyokuwa anaiota Magufuli kila akilala, tungejenga japo bei yake siijui tungemudu 😉 Tungeachana na kugombana kuhusu mchanga na makinikia, tungeuza madini yaliyokamilika
  8. Gridi ya Taifa ya mfumo wa maji safi maana ukame mdogo tu vilio kila kona
  9. Tungemaliza tantalila zisizoisha kuhusu chanzo cha umeme nchini
  10. Inabakia kama nusu, $ Bil 20 tungewapa kabisa mafisadi wagawane wasituharibie miradi yetu
  11. $ Bil 5 tungewaita Mo, Bakhresa, Rostam na watoto wa Mengi. Wawekeze zaidi walichowekeza sasa na waajiri kina sie maana hizo pesa zinazidi walichonacho. Serikali wakifanya wao, miaka 5 mingi kila kitu juu ya mawe
  12. Zilizobaki tunaziweka kwenye akauti tukisubiri mambo yaende mrama kama Tanzania tulivyozoea
Kumbe kumekucha, ngoja niwahi kibaruani, Taifa la watu milioni 60, eneo la mraba 900,000km, rasilimali kila kona tumeshindwa kuubadili uchumi wetu achilia mbali kuandaa kombe la Afrika.
No 10 nimeielewa sana🤣🤣
Specifically tungewapa CCM
 
Wenzetu wanatuzidi kwa mbali Sana aisee! Nchi za uarabuni Zina utajiri mkubwa Sana hasa ule wa mafuta.
 
Umenichekesha hapo tungewaka mafisadi dola 20bil ili wasituharibie miradi[emoji1787]
 
Hamna kitu ninacho kuchukia kama umaskini aisee!
Ninapokutana na mada kama hizi huwa roho inaniuma sana, inauma zaidi kwa vile wenye dhamana hawajui wafanye nini na wala hawajishughulishi kutaka kujua.
 
Wanajua mkuu, mchwa wengi.. Wanataka kuendelea wao kabla ya Taifa
 
Wamekosea kitu kimoja tu kuenda Brazil kununua vipaji vya soka sahizi ingekuwa burudani kabisa wanaangalia mpira huku wanakunywa kahawa na tende ila kwa timu ile waliyonayo watakufa kwa presha
 
Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe.

Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha kwake. Vimejengwa mpaka viwanja na makazi yatakayobomolewa baada ya mashindano. Pato la Tanzania ni $ Bilioni 62 kwa mwaka.

Nini Tanzania inaweza kufanya na $ bilioni 220;
  1. Ingejenga bandari ya Bagamoyo($ Bil 10) na kuepuka kuingizwa mjini na Mchina.
  2. LNG plant($ Bil 30) na kutumia gesi kila sehemu kuondokana na utumwa wa kulipa mafuta nje.
  3. SGR($ Bil 14) tungeifikisha Mwanza na Kigoma, kwa jeuri tugemjengea na Congo, akitoa mzigo wake Bagamoyo kituo cha kwanza Lubumbashi.
  4. Deni la Taifa($ Bil 28) tungelipa lote na bungeni tufocus kwenye kuongelea maendeleo maana mjadala wa deni la taifa huwa unapoteza muda wakati tunaendelea kukopa.
  5. Madarasa($ Bil 2), tungeacha kwenda kumpigia goti Mzungu eti kujenga vyumba vya madarasa.
  6. BRT($ Bil 2), tungejenga mwendokasi Dar nzima na kuwaonjesha Mwanza ikiwa na mabasi ya kutosha kama yale mekundu ya waingereza na kuachana na haya ya bluu tena 'Level seat' yakiendeshwa na gesi ya bei nafuu.
  7. Ile 'smelter' aliyokuwa anaiota Magufuli kila akilala, tungejenga japo bei yake siijui tungemudu 😉. Tungeachana na kugombana kuhusu mchanga na makinikia, tungeuza madini yaliyokamilika.
  8. Gridi ya taifa ya mfumo wa maji safi maana ukame mdogo tu vilio kila kona.
  9. Tungemaliza tantalila zisizoisha kuhusu chanzo cha umeme nchini.
  10. Inabakia kama nusu, $ Bil 20 tungewapa kabisa mafisadi wagawane wasituharibie miradi yetu.
  11. $ Bil 5 tungewaita Mo, Bakhresa, Rostam na watoto wa Mengi wawekeze zaidi walichowekeza sasa na waajiri kina siye maana hizo pesa zinazidi walichonacho. Serikali wakifanya wao, miaka 5 mingi kila kitu juu ya mawe.
  12. Zilizobaki tunaziweka kwenye akauti tukisubiri mambo yaende mrama kama Tanzania tulivyozoea.
Kumbe kumekucha, ngoja niwahi kibaruani, taifa la watu milioni 60, eneo la mraba 900,000km, rasilimali kila kona tumeshindwa kuubadili uchumi wetu achilia mbali kuandaa Kombe la Afrika.
Pato la Tz ni $67.78B Mwaka 2021 source WB
Screenshot_20220713-125740_Samsung%20Internet.jpg
 
Waarabu wangetupa breakdown ya iyo $220B
 
Hata sisi tungekuwa na matumizi mazuri ya akili tengekuwa matajiri. Kuna nchi kama Dubai, Malaysia tulikuwa tunalingana uchumi miaka ya 70's lakini wametuacha mbali kwasababu wametumia akili zao vema mpaka kuwa matajiri.
Eti Dubai palikua hv miaka ya 70s, hata bongo palikua pazuur jmn, dah
 
Attachments

  • ba6661e0c1557cb23fdf21c9859d1b69.jpg
    ba6661e0c1557cb23fdf21c9859d1b69.jpg
    90.4 KB · Views: 3
Wamekosea kitu kimoja tu kuenda Brazil kununua vipaji vya soka sahizi ingekuwa burudani kabisa wanaangalia mpira huku wanakunywa kahawa na tende ila kwa timu ile waliyonayo watakufa kwa presha
Timu za Taifa kununua wachezaji naona inapoteza ladha, yani mfano timu za mataifa ya Afrika Maghrib zijae wazungu.. Bora huu mfumo ubaki kwenye vilabu
 
Back
Top Bottom