Mambo kibao yanafanyika.Kujenga viwanja nane na hotel pamoja na hostel haziwezi kuvuka dola bilioni 15.
Uwanja mmoja ni kama dola milioni 500 kwahiyo vinane ni kama dola bilioni 4.
Sasa hapo nini kingine chenye gharama kubwa kuliko viwanja? Maana hoteli nyingi tayari zilikuwepo.
No 10 nimeielewa sana🤣🤣Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa kombe la dunia lililotumia gharama zaidi tangu dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha kombe la dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha kwake. Vimejengwa mpaka viwanja na makazi yatakayobomolewa baada ya mashindano. Pato la Tanzania ni $ Bilioni 62 kwa mwaka.
Ni Tanzania inaweza kufanya na $ bilioni 220
Kumbe kumekucha, ngoja niwahi kibaruani, Taifa la watu milioni 60, eneo la mraba 900,000km, rasilimali kila kona tumeshindwa kuubadili uchumi wetu achilia mbali kuandaa kombe la Afrika.
- Ingejenga bandari ya Bagamoyo($ Bil 10) na kuepuka kuingizwa mjini na Mchina
- LNG plant($ Bil 30) na kutumia gesi kila sehemu kuondokana na utumwa wa kulipa mafuta nje
- SGR($ Bil 14) tungeifikisha Mwanza na Kigoma, kwa jeuri tugemjengea na Congo, akitoa mzigo wake Bagamoyo kituo cha kwanza Lubumbashi
- Deni la Taifa($ Bil 28) Tungelipa lote na bungeni tufocus kwenye kuongelea maendeleo maana mjadala wa deni la Taifa huwa unapoteza muda wakati tunaendelea kukopa
- Madarasa($ Bil 2) Tungeacha kwenda kumpigia goti mzungu eti kujenga vyumba vya madarasa
- BRT($ Bil 2) Tungejenga mwendokasi Dar nzima na kuwaonjesha Mwanza ikiwa na mabasi ya kutosha kama yale mekundu ya waingereza na kuachana na haya ya bluu tena Level seat yakiendeshwa na gesi ya bei nafuu
- Ile smelter aliyokuwa anaiota Magufuli kila akilala, tungejenga japo bei yake siijui tungemudu 😉 Tungeachana na kugombana kuhusu mchanga na makinikia, tungeuza madini yaliyokamilika
- Gridi ya Taifa ya mfumo wa maji safi maana ukame mdogo tu vilio kila kona
- Tungemaliza tantalila zisizoisha kuhusu chanzo cha umeme nchini
- Inabakia kama nusu, $ Bil 20 tungewapa kabisa mafisadi wagawane wasituharibie miradi yetu
- $ Bil 5 tungewaita Mo, Bakhresa, Rostam na watoto wa Mengi. Wawekeze zaidi walichowekeza sasa na waajiri kina sie maana hizo pesa zinazidi walichonacho. Serikali wakifanya wao, miaka 5 mingi kila kitu juu ya mawe
- Zilizobaki tunaziweka kwenye akauti tukisubiri mambo yaende mrama kama Tanzania tulivyozoea
Umenichekesha hapo tungewaka mafisadi dola 20bil ili wasituharibie miradi[emoji1787]Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa kombe la dunia lililotumia gharama zaidi tangu dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha kombe la dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha kwake. Vimejengwa mpaka viwanja na makazi yatakayobomolewa baada ya mashindano. Pato la Tanzania ni $ Bilioni 62 kwa mwaka.
Ni Tanzania inaweza kufanya na $ bilioni 220
Kumbe kumekucha, ngoja niwahi kibaruani, Taifa la watu milioni 60, eneo la mraba 900,000km, rasilimali kila kona tumeshindwa kuubadili uchumi wetu achilia mbali kuandaa kombe la Afrika.
- Ingejenga bandari ya Bagamoyo($ Bil 10) na kuepuka kuingizwa mjini na Mchina
- LNG plant($ Bil 30) na kutumia gesi kila sehemu kuondokana na utumwa wa kulipa mafuta nje
- SGR($ Bil 14) tungeifikisha Mwanza na Kigoma, kwa jeuri tugemjengea na Congo, akitoa mzigo wake Bagamoyo kituo cha kwanza Lubumbashi
- Deni la Taifa($ Bil 28) Tungelipa lote na bungeni tufocus kwenye kuongelea maendeleo maana mjadala wa deni la Taifa huwa unapoteza muda wakati tunaendelea kukopa
- Madarasa($ Bil 2) Tungeacha kwenda kumpigia goti mzungu eti kujenga vyumba vya madarasa
- BRT($ Bil 2) Tungejenga mwendokasi Dar nzima na kuwaonjesha Mwanza ikiwa na mabasi ya kutosha kama yale mekundu ya waingereza na kuachana na haya ya bluu tena Level seat yakiendeshwa na gesi ya bei nafuu
- Ile smelter aliyokuwa anaiota Magufuli kila akilala, tungejenga japo bei yake siijui tungemudu 😉 Tungeachana na kugombana kuhusu mchanga na makinikia, tungeuza madini yaliyokamilika
- Gridi ya Taifa ya mfumo wa maji safi maana ukame mdogo tu vilio kila kona
- Tungemaliza tantalila zisizoisha kuhusu chanzo cha umeme nchini
- Inabakia kama nusu, $ Bil 20 tungewapa kabisa mafisadi wagawane wasituharibie miradi yetu
- $ Bil 5 tungewaita Mo, Bakhresa, Rostam na watoto wa Mengi. Wawekeze zaidi walichowekeza sasa na waajiri kina sie maana hizo pesa zinazidi walichonacho. Serikali wakifanya wao, miaka 5 mingi kila kitu juu ya mawe
- Zilizobaki tunaziweka kwenye akauti tukisubiri mambo yaende mrama kama Tanzania tulivyozoea
Wanajua mkuu, mchwa wengi.. Wanataka kuendelea wao kabla ya TaifaHamna kitu ninacho kuchukia kama umaskini aisee!
Ninapokutana na mada kama hizi huwa roho inaniuma sana, inauma zaidi kwa vile wenye dhamana hawajui wafanye nini na wala hawajishughulishi kutaka kujua.
Hata sisi tungekuwa na matumizi mazuri ya akili tengekuwa matajiri. Kuna nchi kama Dubai, Malaysia tulikuwa tunalingana uchumi miaka ya 70's lakini wametuacha mbali kwasababu wametumia akili zao vema mpaka kuwa matajiri.Tz mbna tunapenda kuilnganisha na mataifa Tajiri
Pato la Tz ni $67.78B Mwaka 2021 source WBQatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe.
Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha kwake. Vimejengwa mpaka viwanja na makazi yatakayobomolewa baada ya mashindano. Pato la Tanzania ni $ Bilioni 62 kwa mwaka.
Nini Tanzania inaweza kufanya na $ bilioni 220;
Kumbe kumekucha, ngoja niwahi kibaruani, taifa la watu milioni 60, eneo la mraba 900,000km, rasilimali kila kona tumeshindwa kuubadili uchumi wetu achilia mbali kuandaa Kombe la Afrika.
- Ingejenga bandari ya Bagamoyo($ Bil 10) na kuepuka kuingizwa mjini na Mchina.
- LNG plant($ Bil 30) na kutumia gesi kila sehemu kuondokana na utumwa wa kulipa mafuta nje.
- SGR($ Bil 14) tungeifikisha Mwanza na Kigoma, kwa jeuri tugemjengea na Congo, akitoa mzigo wake Bagamoyo kituo cha kwanza Lubumbashi.
- Deni la Taifa($ Bil 28) tungelipa lote na bungeni tufocus kwenye kuongelea maendeleo maana mjadala wa deni la taifa huwa unapoteza muda wakati tunaendelea kukopa.
- Madarasa($ Bil 2), tungeacha kwenda kumpigia goti Mzungu eti kujenga vyumba vya madarasa.
- BRT($ Bil 2), tungejenga mwendokasi Dar nzima na kuwaonjesha Mwanza ikiwa na mabasi ya kutosha kama yale mekundu ya waingereza na kuachana na haya ya bluu tena 'Level seat' yakiendeshwa na gesi ya bei nafuu.
- Ile 'smelter' aliyokuwa anaiota Magufuli kila akilala, tungejenga japo bei yake siijui tungemudu 😉. Tungeachana na kugombana kuhusu mchanga na makinikia, tungeuza madini yaliyokamilika.
- Gridi ya taifa ya mfumo wa maji safi maana ukame mdogo tu vilio kila kona.
- Tungemaliza tantalila zisizoisha kuhusu chanzo cha umeme nchini.
- Inabakia kama nusu, $ Bil 20 tungewapa kabisa mafisadi wagawane wasituharibie miradi yetu.
- $ Bil 5 tungewaita Mo, Bakhresa, Rostam na watoto wa Mengi wawekeze zaidi walichowekeza sasa na waajiri kina siye maana hizo pesa zinazidi walichonacho. Serikali wakifanya wao, miaka 5 mingi kila kitu juu ya mawe.
- Zilizobaki tunaziweka kwenye akauti tukisubiri mambo yaende mrama kama Tanzania tulivyozoea.
Eti Dubai palikua hv miaka ya 70s, hata bongo palikua pazuur jmn, dahHata sisi tungekuwa na matumizi mazuri ya akili tengekuwa matajiri. Kuna nchi kama Dubai, Malaysia tulikuwa tunalingana uchumi miaka ya 70's lakini wametuacha mbali kwasababu wametumia akili zao vema mpaka kuwa matajiri.
Pato la Tz ni $67.78B Mwaka 2021 source WBView attachment 2424130
Tupe chanzo cha taarifa zako? Sio unahisi tu unasema haiko hivyo, imekadiriwa na nani?Mwaka huu pato la Taifa linakadiriwa kuwa $ bilioni 62
Timu za Taifa kununua wachezaji naona inapoteza ladha, yani mfano timu za mataifa ya Afrika Maghrib zijae wazungu.. Bora huu mfumo ubaki kwenye vilabuWamekosea kitu kimoja tu kuenda Brazil kununua vipaji vya soka sahizi ingekuwa burudani kabisa wanaangalia mpira huku wanakunywa kahawa na tende ila kwa timu ile waliyonayo watakufa kwa presha