Je, wajua rangi unayoiona unapofumba macho si nyeusi?

Je, wajua rangi unayoiona unapofumba macho si nyeusi?

Wakati macho umeyafumba Unatumia kiungo gani cha ziada kuona hiyo rangi?
 
Zile rangi kwenye upinde wa mvua si ndo wanasema za mashoga....au???
Ni tafsiri tu sasa sijui nikutumia fact gani, lakini ki sayansi zile ndio rangi na nyeusi si rangi bali ni kinyume cha nuru. Pasipo na mwanga ndipo utapata nyeusi, ukifumba kwenye mwanga na ukifumba macho pasipo na mwanga matokeo yake ni tofauti. Ukiondoa vyanzo vyote vya nuru inabaki giza, hiyo ndio nyeusi halisi. Vingine vyote ni mfano wa nyeusi manake pigment imehusika.
 
Ukifunga macho huoni kitu kwani macho yayapo wazi. Hilo giza limetoka wapi?
 
me nkfumba macho kwenye mwanga naona Damu iliyokolea na kwny mwanga hafifu naona Damu ya muzee kukiwa hamna mwanga naona giza tu.
 
Back
Top Bottom