Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

Nyie bure FC sasa wakati tunaingia robo fainali zote Simba ilikua nini? Yani mnatapa tapa mpaka huruma..kweli masikini akipata matako hulia mbwata mbwata mbwata...kwahyo ni ajabu kwenu..
Hapana mkuu....sema kupoteza home ground ...inatishangaza sana
 
Hapana mkuu....sema kupoteza home ground ...inatishangaza sana
Nyie mmepata matokeo?
Hvi hiki kikosi nyie kama vyura mnawaamini hawa soccer zone?
Screenshot_20240402-201600_WhatsApp.jpg
 
Ushirikina wa kupita milango mingine..kuwatupia watu majini..kuondoa mataulo...
Nyie ni washirika basi sio washirikina..
Hapana mkuu.... wananchi hawanaga hizo mambo ....

Simba mlichoma moto uwanjani sauz

Mlifukia dawa mechi ikiendelea
1711489753647.jpg
 
Back
Top Bottom