mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Sasa huyu alieandika hii thread nani kamuelekeza ajiunge na huu mtandao? Mbona hadhi ya jamii forum inashuka kila siku na wimbi la wakurupukaji na wasio makini wakiendelea kujazana siku hadi siku? Hii ni hatari