mkulu senkondo JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 1,862 Reaction score 3,574 Mar 6, 2018 #61 Sasa huyu alieandika hii thread nani kamuelekeza ajiunge na huu mtandao? Mbona hadhi ya jamii forum inashuka kila siku na wimbi la wakurupukaji na wasio makini wakiendelea kujazana siku hadi siku? Hii ni hatari
Sasa huyu alieandika hii thread nani kamuelekeza ajiunge na huu mtandao? Mbona hadhi ya jamii forum inashuka kila siku na wimbi la wakurupukaji na wasio makini wakiendelea kujazana siku hadi siku? Hii ni hatari
NO04 JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 1,754 Reaction score 1,241 Mar 6, 2018 #62 dictator cha pombe said: Muweke mama yako as stake mimi nikuwekee mke wangu Click to expand... mnakoelekea, mmmh!! acheni hizo nadhani ilikuwa ni utani tu!!
dictator cha pombe said: Muweke mama yako as stake mimi nikuwekee mke wangu Click to expand... mnakoelekea, mmmh!! acheni hizo nadhani ilikuwa ni utani tu!!