Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salaam Wana jf......
Weekend hii nilikuwa najaribu ku retrieve timu zinazo ongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight hapa east Africa
Jibu limekuja kuwa Simba (Ayubu fc) ndiyo timu inayoongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight Katika mashindano ya kimataifa
Mfano
Mwaka 2019
Simba 0 _ 5 As vita
Simba 0 __5 Al ahly
Simba 1 __ 4 Tp mazembe
Simba 0____3 Raja Casablanca