Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ngapi? Mwarabu gani?Yaaah mkuu nime consider factors zote.....mfano
Yanga wamefika final ...na kumpiga mwarabu kwake
Na Yanga akakandwa 5 na Simba, 5 na Ahly, 6 na Raja, 5 na Villa Squad ya KinondoniSimba alipigwa 5.....na Al ahly
Al ahly alikandwa 1 na Yanga....
Sana tu, wanapigwa huko huko kwao.Kumbuka Yanga ni kiboko ya waarabu [emoji23]
Waarabu wabuza wale wenye vita wakuchezea mechi zote tz..? WTFKumbuka Yanga ni kiboko ya waarabu [emoji23]
Mkuu.....Horoya fc nayo yakuizungumzia [emoji23][emoji23]Simba alimpiga mtu 7 kwa 1 hyo umeitoa akilini? Tena group stage...ww una hitilafu si bure...sasa moja la kuotea?
Yani miaka 25 bila group stage unajilinganisha na Simba...
Nyie wakandwaji FC...
Vibonde vya Ihefu...
Yanga hawajawahi kufungwa hivyo..... mechi za kimataifaMara ngapi? Mwarabu gani?
Umeweka rekodi za 6-0, 5-0, 4-1, 4-1 za vipigo alivyotoa Simba kwa Yanga? Umeweka rekodi za vipigo vya 6-0 na 5-0 walivyotoa Raja na Ahly kwa Yanga? Umeweka rekodi ya kipigo cha 5 alichotoa Villa Squad ya Kinondoni kwa Yanga?
Kwahyo tuizungumzie Ihefu?Mkuu.....Horoya fc nayo yakuizungumzia [emoji23][emoji23]
😂 wachawi fcA.k.a wekundu .....wa msimbazi
😂 wachawi fc
Wachawi wanawajua wachawi wenzao 🐸 🤣