Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naam zipo zile nimezitunsa store.Mkuu kuna zile 4 za chama na miqson
Moja kati y vipaji adimu duniani ni ukosef wa akili, watu walio na kipaji hiki wapo wengi ila hawajui namna ya kukitumia, angalau wewe umethibitisha kuwa unajua kutumia kipaji chako, yaan simba afungwe na al ahly wewe ufanye reference na usma ambayo haijui hata CAFCL inafananajeYaaah mkuu nime consider factors zote.....mfano
Yanga wamefika final ...na kumpiga mwarabu kwake
Kwani Al ahly kakandwa mara ngapi na simba?Simba alipigwa 5.....na Al ahly
Al ahly alikandwa 1 na Yanga....
Kwahyo simba alivyomfunga al ahly mara mbili tofaut na akaongoza kundi ulikuwa hujazaliwa?Simba alipigwa 5.....na Al ahly
Al ahly alikandwa 1 na Yanga....
Yaaah mkuu mi ni geniusMoja kati y vipaji adimu duniani ni ukosef wa akili, watu walio na kipaji hiki wapo wengi ila hawajui namna ya kukitumia, angalau wewe umethibitisha kuwa unajua kutumia kipaji chako, yaan simba afungwe na al ahly wewe ufanye reference na usma ambayo haijui hata CAFCL inafananaje
Nje ya madaJe huo mwaka wa 2019 ni timu ipi inaongoza kutoa kichapo kwa timu za EA
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Tuonee huruma 🤣🤣🤣Simba alimpiga mtu 7 kwa 1 hyo umeitoa akilini? Tena group stage...ww una hitilafu si bure...sasa moja la kuotea?
Yani miaka 25 bila group stage unajilinganisha na Simba...
Nyie wakandwaji FC...
Vibonde vya Ihefu...
Yanga ndio tjmu pekee top three iliyopoteza. TENA KWA VIBONDE IHEFSalaam Wana jf......
Weekend hii nilikuwa najaribu ku retrieve timu zinazo ongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight hapa east Africa
Jibu limekuja kuwa Simba (Ayubu fc) ndiyo timu inayoongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight Katika mashindano ya kimataifa
Mfano
Mwaka 2019
Simba 0 _ 5 As vita
Simba 0 __5 Al ahly
Simba 1 __ 4 Tp mazembe
Simba 0____3 Raja Casablanca
Waarabu gani? Tarehe 18/09/1998 Raja Casablanca 6-0 YangaKumbuka Yanga ni kiboko ya waarabu [emoji23]
Shukran umefufua na mwaka huu watakula zaidi ya 4 au 5 mara 2 au 3 hahahaWaarabu gani? Tarehe 18/09/1998 Raja Casablanca 6-0 Yanga
Shukran umefufua na mwaka huu watakula zaidi ya 4 au 5 mara 2 au 3 hahaha
Bado tuwakumbushe na zile tuliwatunguaga 5, 4, 3 nk
Bado tuwakumbushe na zile tuliwatunguaga 5, 4, 3 nk