Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...Ayoub FC.Salaam Wana jf......
Weekend hii nilikuwa najaribu ku retrieve timu zinazo ongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight hapa east Africa
Jibu limekuja kuwa Simba (Ayubu fc) ndiyo timu inayoongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight Katika mashindano ya kimataifa
Mfano
Mwaka 2019
Simba 0 _ 5 As vita
Simba 0 __5 Al ahly
Simba 1 __ 4 Tp mazembe
Simba 0____3 Raja Casablanca
Kwa mtu mwenye akili angejiuliza kwanza, Je, hizo timu nyingine za EA zinazolinganishwa na Simba, huwa zinashiriki mashindano hayo, na huwa zinafika hatua ya kukutana na wababe hao? Lakini kwa kuwa mmetuambia kuwa huko wenye akili ni wawili tu, basi hilo swali wangeweza kujiuliza wawili tu 😁Salaam Wana jf......
Weekend hii nilikuwa najaribu ku retrieve timu zinazo ongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight hapa east Africa
Jibu limekuja kuwa Simba (Ayubu fc) ndiyo timu inayoongoza Kwa kupokea vipigo heavyweight Katika mashindano ya kimataifa
Mfano
Mwaka 2019
Simba 0 _ 5 As vita
Simba 0 __5 Al ahly
Simba 1 __ 4 Tp mazembe
Simba 0____3 Raja Casablanca
Mkuu kuna zile 4 za chama na miqson
Yaaah mkuu nime consider factors zote.....mfanoKwa mtu mwenye akili angejiuliza kwanza, Je, hizo timu nyingine za EA zinazolinganishwa na Simba, huwa zinashiriki mashindano hayo, na huwa zinafika hatua ya kukutana na wababe hao? Lakini kwa kuwa mmetuambia kuwa huko wenye akili ni wawili tu, basi hilo swali wangeweza kujiuliza wawili tu [emoji16]
Kazi ni kwakoNawaweza [emoji23]
Simba alimpiga mtu 7 kwa 1 hyo umeitoa akilini? Tena group stage...ww una hitilafu si bure...sasa moja la kuotea?Simba alipigwa 5.....na Al ahly
Al ahly alikandwa 1 na Yanga....