Je wajua: Simba ndio timu inayoongoza kupokea vichapo vizito EA

Yaaah mkuu nime consider factors zote.....mfano
Yanga wamefika final ...na kumpiga mwarabu kwake
Mara ngapi? Mwarabu gani?
Umeweka rekodi za 6-0, 5-0, 4-1, 4-1 za vipigo alivyotoa Simba kwa Yanga? Umeweka rekodi za vipigo vya 6-0 na 5-0 walivyotoa Raja na Ahly kwa Yanga? Umeweka rekodi ya kipigo cha 5 alichotoa Villa Squad ya Kinondoni kwa Yanga?
 
Simba alimpiga mtu 7 kwa 1 hyo umeitoa akilini? Tena group stage...ww una hitilafu si bure...sasa moja la kuotea?
Yani miaka 25 bila group stage unajilinganisha na Simba...
Nyie wakandwaji FC...
Vibonde vya Ihefu...
Mkuu.....Horoya fc nayo yakuizungumzia [emoji23][emoji23]
 
Yanga hawajawahi kufungwa hivyo..... mechi za kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…