Je wajua: Simba ndio timu inayoongoza kupokea vichapo vizito EA

Yaaah mkuu nime consider factors zote.....mfano

Yanga wamefika final ...na kumpiga mwarabu kwake
Moja kati y vipaji adimu duniani ni ukosef wa akili, watu walio na kipaji hiki wapo wengi ila hawajui namna ya kukitumia, angalau wewe umethibitisha kuwa unajua kutumia kipaji chako, yaan simba afungwe na al ahly wewe ufanye reference na usma ambayo haijui hata CAFCL inafananaje
 
Yaaah mkuu mi ni genius

USM Alger aliyepigwa na Yanga ......

Ndiye aliye mkanda Al ahly super cup[emoji23]
 
Yanga ndio tjmu pekee top three iliyopoteza. TENA KWA VIBONDE IHEF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…