Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Kuhusu upande wa CAF hili halina mjadala.....hapa simba mmetuzidi parefu [emoji23][emoji23]
though.....tunapambana mwaka huu tuje na hili kombe la CAF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsanteeeeee, tena uwaambie na utopolo wenzio waelewe.
 
Japo nadhani wazungu walikuwa wanajaribu ku demonstrate iwapo binadamu wangekua na green blood ...Basi wangekua most powerful creatures than hiv tulivyo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwisha habari yakoooo
 
Back
Top Bottom