Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Mwezi ni satellite ya asili. Hujizungusha kwenye mhimili wake kwa kukamilisha mzunguko wake huku ikiizunguka Dunia. Ajabu ni kwamba gravity ya Dunia inaushikilia Mwezi kwa kiasi kwamba Mwezi huizunguka Dunia kwa kuiangalia sura(upande) uleule unaotizamana na Dunia siku zote.

Kwa ufupi, one side ya Moon always faces us. Kwa hiyo, the dark side of the moon hatuijui. Tafiti yake imebakia kua ya fikra, na maswali ya fikra yanajibika kwa fikra.
China walishashusha chombo chao upande huu wa giza wa mwezi
 
Mwanamke anapokuwa anajifungua maumivu yake ni sawa na kuvunjika mifupa 20 kwa wakati mmoja.

Women are champions. Then bado tunafikiri wanaume ni imara.
 
Mwanamke anapokuwa anajifungua maumivu yake ni sawa na kuvunjika mifupa 20 kwa wakati mmoja.

Women are champions. Then bado tunafikiri wanaume ni imara.
Kazi yake Mungu haina makosa, ulitaka nani awe na hayo maumivu sasa nakati Mungu ndiye aliyeamua na huwa hapangiwi [emoji848]
 

Keeuwiiii toobaaahhh

Huyu ni Nyani nnayemfahamu mie.... Huyuhuyuu Nyani Ngabu...... Uuhhh

Ngoja nimuite kuhakiki ndo yeye...

Nyaaaaniiiiiii Nyaaaniiiiii Ngaaaabuuuuuuuu

Monkeeeeeey hahahahahahhaa

Monkey Pie Ngabuuuuuuuuuu

Nimekumbuka zamani looh.

Njoooo huukuuuuuu wameonesha kiwi yako huku ukiwa unajichojolea na bi naniliu heheheheheheheeee mbiiioooooo kabla sijafinywaaa.....

Binua binua binua, binua baba Belinda binua aaahahahahahahahhaaaaa nduuukiiiiiiiii.

Sina nnachojua zaidi ya kuwa mimi ni kigagula jasusi wa Mahaba.

K' Mahaba Matata.
 
Je wajua kila Mtanzania ni mtu tajiri zaidi duniani kulingana na rasilimali zilizopo hapa nchini kwa kulinganisha eneo la nchi na thamani ya utajiri wake?
 
Back
Top Bottom