Je, wajua? - Special Thread

Mie ukinikuta maeneo ya chuo chcht huwa wanajua mie dent...niweke club nafit..niweke beach nafit.....niweke kwa madada wa mujini nafit...niweke as a modern woman nafit...!niweke km hustla wa mwendo kasi nafit[emoji126][emoji126][emoji126]!
Je wajua?
Hata ukiwa na Mimi utafit?
 
Je wajua kuna kaburi la vifaa anga (spacecrafts cemetery)! Eneo hili linaitwa Point Nemo ambalo lina urefu wa mita 4,000 kusinini mwa bahari ya Pacific na lipo mbali kabisa na nchi kavu kwenye pande zote za dunia. Point Nemo imezungukwa na maji pande zote kwa ukubwa wa zaidi ya Kilometa 2,250.
Cha kushangaza zaidi aliegundua eneo hilo hajawahi kufika hapo! Ilikuwa mwaka 1992 ambapo Croatian survey engineer Hrvoje Lukatela alitumia program ya computer kutafuta ni point gani iliyo mbali zaidi kutoka point nyingine za nchi kavu. Maana halisi ya Nemo ni "no man"....eneo hili limezungukwa na mawimbi makali yanayozunguka muda wote na kufanya eneo hili lisikaliwe na viumbe wa baharini kama samaki... Kiufupi hakuna maisha.
 
Mother Confessor mtoto sana kwangu ww...hebu uwe seruous..mwenzake nna 2kids..yy najua hana!

yaan km kuoa wanangu wataoa watoto wake[emoji4]..mie napishana miez na dada Kassie mahabat
Hivi my dear aliyesema kuwa na watoto ndio ukubwa nani[emoji134][emoji134] mtoto wa kaka yangu ana mtoto anakaribia kutimiza mwaka na amekulia mgongoni kwangu
 
Mxiuu Mayo Mwache Dada yangu
 
Je wajua?

Mtu anapokuwa na ukaribu/kupendana sana na mwingine; anauwezo wa kusikia sauti ya mwenzake hata akiwa anasoma barua au meseji kutoka kwa ampendae.
 
Je wajua kuwa,
Ukikaa na mtu kwenye seat moja au popote pale mtakapokuwa mmekaa,mmoja atakapowaza chochote kuhusu yule aliegusana naye,na yeye huwaza kitu kilekile kwa wakati ule...?
 
Naona Mkuu ume specialize kwenye mbo.o
 
mkuu mwaka huu chinese wametuma kifaa na kimefika kwenye dark side of the moon
 
Sweden ina nini? Tz ina Tanzanite, dhahabu, almasi, nickel, coltan, uranium, rubies, emeralds na vito kibao. Ina gesi matrilioni ya tani. Ina makaa ya mawe matrilioni ya tani. Ina chuma matrilioni ya tani. Ina shaba. Ina aluminium. Ina rare metals kama platinum nickel n
K. Ina bahari yenye samaki kibao wakiwa ni pamoja na jodari. Na fukwe nzuri zinazofaa utalii. Rudi kwenye mbuga za wanyama na viumbe wengine ambao hawapatikani popote pengine duniani. Nenda kwenye ardhi ya kumtosha kila mwananchi kulima na kufuga. Halafu tunathubutu kusema sisi ni maskini !!??? Nadhani hata Mungu anatukasirikia kwa kusema ni maskini wakati tuna utajiri wote huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…