Kwa herufi hizo ni kwa BIBILIA ipi mkuu? Maana ziko Biblia karibia 3 na kila m1 ana uandishi wake
Biblia ya aina gani King James, Good News au ipi?
Na imeandikwa kwa lugha gani hiyo Biblia??
Tumsifu Yesu Kristo
The Bible is the consolidation of the first dispensation and the second dispensation. If you are a muhammadan, you will comprehend not.Biblia ipi iyo ulio kusudia wewe ? Agano jipya, agano la kale au mana biblia imekaa kama meseji ya mtu anaejifundisha kutongoza kila siku inaeditiwa. je ni kurasa ngapi ambazo hamuruhusiwi kuzitizama mukazisoma?
Dah mbona Qur_an dunia nzima ziko sawa lakini utasikia biblia ya king John ya kiswahili ya kigiriki kwa mini is I we moja tu lugha mbona waislam wao wanasoma vilevile hata ukienda China wanaswali sawa na wanasoma vile vile hawana tofauti iweje mkristo akiwa mswahili aende jina kanisani wataelewana lugha katika ibada
Biblia ipi iyo ulio kusudia wewe ? Agano jipya, agano la kale au mana biblia imekaa kama meseji ya mtu anaejifundisha kutongoza kila siku inaeditiwa. je ni kurasa ngapi ambazo hamuruhusiwi kuzitizama mukazisoma?
Dah mbona Qur_an dunia nzima ziko sawa lakini utasikia biblia ya king John ya kiswahili ya kigiriki kwa mini is I we moja tu lugha mbona waislam wao wanasoma vilevile hata ukienda China wanaswali sawa na wanasoma vile vile hawana tofauti iweje mkristo akiwa mswahili aende jina kanisani wataelewana lugha katika ibada
Bibli
ya ni mandishi watu. ni uchafu tu baadhi ya aya zake. nakila mwaka wanaedit nyengine.mleta madaakasome tena.biblia imejaa ushoga wa ma!rekani n ulaya.
Biblia ya aina gani King James, Good News au ipi?
Na imeandikwa kwa lugha gani hiyo Biblia??
Tumsifu Yesu Kristo
Unajua maana ya Bibkia??.
Je wajua? Kitabu kitakatifu kwa wakristo kijulikanacho kama Biblia kina
[*]Herufi 3,566,480,
[*]Maneno 810,677
[*]Mistari 31,175
[*]Sura 1089
[*]Sura ndefu kuliko zote ni Zaburi 119
[*]Sura fupi kuliko zote ni Zaburi 117
[*]Mstari ambao upo katikati ya biblia (ambako kwenda mbele ni sawa na kurudi nyuma) ni Zaburi 118:8
[*]Jina refu kuliko yote katika biblia linapatikana Isaya 8:1
[*]Neno Bwana linapatikana kwenye biblia mara 1855
[*]Misitari katika biblia inayofanana neno kwa neno ni 2Wafalme 19 na Isaya 37
[*]Mstari mfupi kuliko yote ni Yohana 11:35
[*]Je wataka kujua nini juu ya Biblia?