Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Kwa herufi hizo ni kwa BIBILIA ipi mkuu? Maana ziko Biblia karibia 3 na kila m1 ana uandishi wake
 
Kwa herufi hizo ni kwa BIBILIA ipi mkuu? Maana ziko Biblia karibia 3 na kila m1 ana uandishi wake

Standard version, ambazo ni matoleo ya shule,hata hivyo Tofauti na king james version na zingine ni tofauti ya idadi ya maneno! hapa nazungumzia biblia ya kiswahili yenye agano la kale na jipya
 
Dah mbona Qur_an dunia nzima ziko sawa lakini utasikia biblia ya king John ya kiswahili ya kigiriki kwa mini is I we moja tu lugha mbona waislam wao wanasoma vilevile hata ukienda China wanaswali sawa na wanasoma vile vile hawana tofauti iweje mkristo akiwa mswahili aende jina kanisani wataelewana lugha katika ibada
 
Biblia ipi iyo ulio kusudia wewe ? Agano jipya, agano la kale au mana biblia imekaa kama meseji ya mtu anaejifundisha kutongoza kila siku inaeditiwa. je ni kurasa ngapi ambazo hamuruhusiwi kuzitizama mukazisoma?
The Bible is the consolidation of the first dispensation and the second dispensation. If you are a muhammadan, you will comprehend not.
 
Bibli
ya ni mandishi watu. ni uchafu tu baadhi ya aya zake. nakila mwaka wanaedit nyengine.mleta akasome tena.biblia imejaa ushoga wa ma!rekani n ulaya.
 
Bibli
ya ni mandishi watu. ni uchafu tu baadhi ya aya zake. nakila mwaka wanaedit nyengine.mleta madaakasome tena.biblia imejaa ushoga wa ma!rekani n ulaya.
 
Biblia ipi iyo ulio kusudia wewe ? Agano jipya, agano la kale au mana biblia imekaa kama meseji ya mtu anaejifundisha kutongoza kila siku inaeditiwa. je ni kurasa ngapi ambazo hamuruhusiwi kuzitizama mukazisoma?

Tena muulize ni ile ya kichaga au kiebrania au ni ile ya missionary wa zamani waliowatapeli babu zetu au hawa wapya na kesi za ubakaji
 
Dah mbona Qur_an dunia nzima ziko sawa lakini utasikia biblia ya king John ya kiswahili ya kigiriki kwa mini is I we moja tu lugha mbona waislam wao wanasoma vilevile hata ukienda China wanaswali sawa na wanasoma vile vile hawana tofauti iweje mkristo akiwa mswahili aende jina kanisani wataelewana lugha katika ibada

Usije rudia tena kulinganisha qur an na BIBLE.haviendani.
 
Bibli
ya ni mandishi watu. ni uchafu tu baadhi ya aya zake. nakila mwaka wanaedit nyengine.mleta madaakasome tena.biblia imejaa ushoga wa ma!rekani n ulaya.

Leta hapa aya zilizo editiwa acha umbea.
 
Je wajua? Kitabu kitakatifu kwa wakristo kijulikanacho kama Biblia kina

[*]Herufi 3,566,480,

[*]Maneno 810,677

[*]Mistari 31,175

[*]Sura 1089

[*]Sura ndefu kuliko zote ni Zaburi 119

[*]Sura fupi kuliko zote ni Zaburi 117

[*]Mstari ambao upo katikati ya biblia (ambako kwenda mbele ni sawa na kurudi nyuma) ni Zaburi 118:8

[*]Jina refu kuliko yote katika biblia linapatikana Isaya 8:1

[*]Neno Bwana linapatikana kwenye biblia mara 1855

[*]Misitari katika biblia inayofanana neno kwa neno ni 2Wafalme 19 na Isaya 37

[*]Mstari mfupi kuliko yote ni Yohana 11:35

[*]Je wataka kujua nini juu ya Biblia?

umekosea kidogo biblia haitumiwi na wakrito pekee jaribu kusoma dini nyingine zitumiayo biblia
 
Afadhali, Mtoto wangu kaniletea maswali yafuatayo nimeshindwa kumjibu. Mpendwa mleta uzi hebu nisaidie majibu yake:

1) Baada ya Joshua Mungu alimwinua nani ktk Wana wa Israeli ..?

2) Safina ya Nuhu ilitua mlima upi..?

3) Aliye mwongoza Paulo sala ya toba ni nani..?

4) Mwanafunzi yupi alikufa wa kwanza baada ya Yesu kupaa..?

5) Nini maana ya neno ikabodi ktk Biblia?

6) Mfalme yupi katika Biblia anafananishwa na Yesu..?

7) Watu gani katika Biblia ambao hawakuonja umauti..?

8) Babaye samson aliitwa nani..?

9) Babaye Ibrahim aliitwa nani..?

10) Watoto wa ibrahim ni wepi..?
 
Back
Top Bottom