Je, wajua? - Special Thread


Udumu milele
 
Kilion siifahamu na sijaona kwenye kupekua kwangu namba ya jina hilo
 
mzee chenge ajafikia sextilion kweli??

eti anajiita nyoka mjanja mwenye makengeza msaka pesa
 
Udumu milele

Mimi nataka kiwa kinyume, nimechola kukaririshwa.
Kama tunaanza na elfu inafuata elfu kumi, kisha laki. (kumbuka laki).
Kisha million milioni kumi kisha milioni mia (kumbuka million mia).
Kisha millon mia billion moja halafu billion mia.
Sasa kama kila naada ya kumi ni mia kwanini kumi ya mwanzo ilipewa jina??. yaani laki.
Baaaasi nopewe jina la millioni mia ndio tuelewane.
NIMAWAZO TU WANAJAMVI MSINITUKANE NIMECHOKA NA MAJANGA YA KI KWE Teeeee
 
Dunia sijui itakuwa na miaka,miezi,wiki, siku ,masaa,dakika na sekunde ngapi tangu dunia ianze
 
Afu kicheche nimunyama ambaye siyo mudogo jaribu kupitia referances zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…