Je, wajua? - Special Thread


Ni kwamba hamdaki kuku kwa mkia wake bali ile mudomo ruku behind huitanua ng'waa na kuku akiona hutamani na kutaka kudonoa ndio hapo kwenye udonozi jamaa hubana ile malighafi na kutimua mbio huku kabana tight mark! Hapo kuku ata surphocate mpaka afe
 
Ya mwisho itaitwa infinilion sababu ukitaka kuandika sifuri mpaka mwisho hautaweza na sifuri 300 za bongo ni tofauti sana na sifuri 50 za America.
 
Nashukuru sana mkuu mlendamboga hizi ndo mada nilizokuwa nazitaka, umenitoa umenipa jeuri sana.
 

Nafikiri tatizo lipo kwetu waswahili juu ya neno LAKI (elfu mia moja) tumelitoa wapi tukakosa maneno mengine kwa MILIONI MIA MOJA, BILIONI MIA MOJA, nk. Nafikiri wazungu mtiririko wao hauna mshikeli kabisa: 100thousands, 100millions, 100billions, 100trillions, etc. Wenzetu hawana LAKI!
 
Ahsante kwa darasa zuri, ila hapo kwenye Trillion na Quadrillion idadi ya masifuri uliyoyaandika imelingana (typing error)! Pamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…