Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

JE,WAJUA??

FARASI anao uwezo wa kuhisi(detect) hatari au balaa lililoko kilometa tano(5kms) mbele ya safari.

Kama kuna hatari hiyo, huwa anagoma kuendelea na safari.Hatari hizo inaweza kuwa Nyoka mkali,vita au waharifu.

Na kama (in case unaendanae vitani,kama anaamini hauko well equipped na hawezi kupambana nayeye labda akabaki hai,basi hugomea safari au husimama na kugomea route hiyo.
 
Je wajua vita iliyokwisha kwa muda mfupi sana(haikuwa ya muda mrefu) yaani haikuchukua hata lisaa limoja ni vita kati ya Waingereza na Zanzibar mnamo mwaka 1896
 
Je wajua?
1. Mamba hatafuni anakata vipande na kumeza.
2. Macho ya mamba hayana mifuniko (eyelids)
3. Meno ya mamba hayagusani kwenye surface akifunga mdomo, binadamu ya juu na chini yanagusana (oclussion)
4.Tembo anaweza kunusa harufu ya maji kutoka umbali wa zaidi ya km 3.
5. Papa (shark) anaweza kupata harufu ya TONE MOJA LA DAMU ndanid ya maji akiwa umbali wa mita 400! (Usioge baharini ukiwa na kidonda kibichi)
6.Papa akiwa kwenye maji hawezi kusimama huku akielea. Ni lazima awe ana move ili aelee. Density yake ni kubwa kuliko ya maji na hana swim bladder
 
Je wajua?
1. Nguva(Dugong) ndiye mamalia pekee wa majini anayekula nyasi.
2. Nyangumi wa blue pamoja na ukubwa wote unaofikia tani zaidi ya 50 lakini chakula chake vijidudu vidogovidogo vya baharini kama shrimps(uduvi)
3.Mchwa wanapojenga kichuguu huwa hawakioni kwa nje na hawajui shape yake kwa nje ikoje.
4. Wadudu (insects) ni wengi kuliko viumbe vyote duniani kwa pamoja nawanakula kila kitu kuanzia udongo, nguo, majani, miti, matunda, mbegu etc.
5.Binadamu wa kike anazaliwa na mayai yake y uzazi, hukomaa tu anapokuw
 
Je wajua Wagiriki wimbo wao wa taifa ni mrefu sana kuliko taifa lingine lolote
 
Je wajua wadada wembamba papuchi zao hazijakaa poa? Kama hujui compare mnene, saiz ya kati na kimbaumbau utajua.
 
Je wajua tuta la barabaran kubwa zaidi duniani lilowahi kuwekwa barabaran lipo sanawari arusha, nairobi rd.
 
Back
Top Bottom