Je wajua?
1. Nguva(Dugong) ndiye mamalia pekee wa majini anayekula nyasi.
2. Nyangumi wa blue pamoja na ukubwa wote unaofikia tani zaidi ya 50 lakini chakula chake vijidudu vidogovidogo vya baharini kama shrimps(uduvi)
3.Mchwa wanapojenga kichuguu huwa hawakioni kwa nje na hawajui shape yake kwa nje ikoje.
4. Wadudu (insects) ni wengi kuliko viumbe vyote duniani kwa pamoja nawanakula kila kitu kuanzia udongo, nguo, majani, miti, matunda, mbegu etc.
5.Binadamu wa kike anazaliwa na mayai yake y uzazi, hukomaa tu anapokuw