Je, wajua? - Special Thread

namkubali sana Hitler alikuwa kiboko kwa opportunitist wakazingizia wameuliwa.
 
mmeanza wengine message inasambaa eti bible za kwenye simu ni mipango ya shetani
 

Kwenya ndio nn?
 
foolish
africans
never
take
alcohol
 

Hata social security scheme alianzisha huyohuyo hitler wengine wakaiga
 
je wajua kama CCM haitaondoka madarakani mpaka vitokee vita vya msituni?πŸ˜€
 
Je wajua konokono hulala hata zaid ya mwakazima
 
Je wajua Kenge ndio mdudu taahira kiasi kwamba ikinyesha mvua anakimbia asilowane kisha anaingia mtoni?

ha ha ha ha ha. nimecheka sana, leo nimejua kumbe ndo mana wakati wadogo 2likuwa 2kifanya mambo ya ajabu kaka alikuwa anambia "acha ukenge wewe" kumbe sababu ni hii, asante ku2juza
 
jee wajua WATANZANIA ni wenye uelewa zaidi kuhusu dini kuliko nchi yoyote ile ya east and central africa?
 
Reactions: me1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…