Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kuwa TANZANIA iko miongoni mwa nchi nyingi za kiafrika ambazo hazijawahi kuingiza team ya TAIFA kwenye mashindano ya kombe la dunia?
 
Je wajua kuwa JF ni mtandao unaokipenda CHADEMA nadini ya Kikristo?
 
Je wajua diamond platinumz ndo msanii wa Tanzania anaegoza kwa kuwa n tuzo nyingi za ndani n nje ya nchi
 
  • Thanks
Reactions: me1
Je wajua kama Nyimbo za Taarabu zinachukua air time nyingi ( kwa wimbo mmoja) kuliko aina nyingine ya muziki duniani.

(kwa wastani wimbo mmoja unachukua dakika 30)
 
JE WAJUA KWAMBA MIMI NDIO MTU NILIYEWAI KUANDIKISHWA MAPEMA KWENYE BVR TOFAUT NA WATU WANAOKAA HAD MASAA 10 WAKUTAPO FOLENI ilikuwa hv nilikuta watu zaid ya 500 na mvua ilikuwa inanyesha cha ajabu kalamu zikawa zimegoma ile kufika nikaagzwa kalamu kisha nikaenda niliporud nikapita mojakwamoja nikaanza.mie kuandikishwa wakafatia wengine alaf nikapiga picha nikasain na kupewa kitambulisho nilifika kituon saa 4 na dk 22 nikaondoka saa 4 na dk 35
 
Je wajua tarehe moja ya mwezi inapoanza siku ya Jumapili basi ujue tarehe kumi na tatu(13) ndani ya mwezi huo itaangukia siku ya Ijumaa
 
Jee wajua Mbu ana hisia ya kujua mahali alipo binaadamu kwa umbali wa maili 60?
 
je wajua UTI husambazwa kwa kutumia mdomo wakati wa ngono
 
Je! Wajua kuwa Obama ni mchaga wa marangu?(obamaeli)
 
Je wajua.

Vita dhidi ya ugaidi imeua raia wasio na hatia wengi zaidi ya walio uwawa na magaidi wenyewe toka 11/9/2001 hadi leo.
 
Back
Top Bottom