Je, wajua? - Special Thread

je wajua kwamba leo barca kafungwa 4-0.....hku wakiwa na mchezaji bora mara nne wa dunia
 
je wajua,kuna kisima kinatoa maji ya moto?maji hayo hayatumiki kupikia wala kunywa?tembelea bonde la mpimbwe katavi sehemu inayoitwa maji moto.
 
He wajua Bill Gates akiamka asubuhi akute account yake ina kiasi cha pesa kama cha dangote anaweza kujirusha lutoka ghorofa ya 50 afe kabisa?
 

nyegere (honey badger ) anaweza kukatiza katikati ya simba bila kudhuriwa
 
He wajua Bill Gates akiamka asubuhi akute account yake ina kiasi cha pesa kama cha dangote anaweza kujirusha lutoka ghorofa ya 50 afe kabisa?

Je wajua kua Bill Gates hajui ana kiasi gani katika account zake?
 
Je, wajua kua kila asubui ni siku mpya lakini sio kila siku mpya ni asubui!?
 
JAMBO MOJA USILOLIJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.

Siku aliyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.

Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja.

Hapa urais Pale Birthday.
 
Wakati wa kampeni wananchi wapewe fursa ya kuuliza maswali hii itasaidia sana kupambana na ulaghai.
 
Wakati wa kampeni wananchi wapewe fursa ya kuuliza maswali hii itasaidia sana kupambana na ulaghai.

Patakuwa patamu pale viongozi watakapotakiwa kuthibitisha kuhusu kauli zao za siku za nyuma..
Changamoto aisee..achana na hili wazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…