Je, wajua? - Special Thread

Jee, wajua kuwa Muhammad Ali boxer maarufu kupita wote duniani. Kwenye nyota yake iliyopo Hollywood Walk of Fame, ndiyo pekee imetunddikwa ukutani na haikuwekwa chini kama za ma star wengine wote? Jionee kwanini:

we aliyekuambia ni boxer maarufu nani
 
Last edited by a moderator:
Jee, wajua kuwa Muhammad Ali boxer maarufu kupita wote duniani. Kwenye nyota yake iliyopo Hollywood Walk of Fame, ndiyo pekee imetunddikwa ukutani na haikuwekwa chini kama za ma star wengine wote? Jionee kwanini:

Muongo
 
Last edited by a moderator:

Laki tumelitoa kwa wahindi, wahindi wanatenga namba tofauti na wazungu.
 
Jee, wajua kuwa Muhammad Ali boxer maarufu kupita wote duniani. Kwenye nyota yake iliyopo Hollywood Walk of Fame, ndiyo pekee imetunddikwa ukutani na haikuwekwa chini kama za ma star wengine wote? Jionee kwanini:

Thank you madam I didn't know that
 
Last edited by a moderator:
Je wajua kuwa magufuli anazidi kunifurahishaa??
 
Je wajua Kisiwa cha Mafia kilichopo bahari ya Hindi chenye kata 7 na wakazi wapatao 60,000 hakuna hata shule moja ya kidato cha sita?
Nasikia wameiongeza na ndagoni,kwasasa ziko 8,
Nalog off
 
je wajua kuwa ni marufuku kujenga nyumba ya nyasi nchini rwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…