Je, wajua? - Special Thread

Je wajua?Umezaji wa chakula kwa ndege wote unategemea gravity.
 
hiyo inakuaje?
Kwa kawaida kwa binadamu na mammals wengine kuna wave like muscular movement (peristalsis movement) inayosaidia chakula ku-move kutoka mdomoni hadi tumboni/stomach kupitia esophagus lakini ndege hawana hii mechanism kwenye umeng'enyaji wao hivyo basi kinachofanya chakula kisafiri kutoka mdomoni kwenda tumboni ni gravitational force pekee yaani ikitokea kwa namna yoyote ile ukamuweka ndege tumbo likawa juu halafu kichwa chini then umulishe Chakula hakitasafiri kwenda tumboni maanake tumbo liko juu(less gravity) na kichwa kiko chini(gravitation force is strong)KWA KIFUPI.Binadamu anaweza kumeza hata akiwa amesimamia kichwa lakini ndege tumbo likiwa juu halafu kichwa chini hawezi kumeza.Nadhani nimeeleweka.
 
Je wajua mkoa wa DSM pekee hutumia zaidi ya asilimia 70 ya mkaa wote unaozalishwa nchini?
 
Teh teh, kwa hiyo kule kunako venus jua linachomoza Magharibi kuelekea Mashariki?

Kuchomoza kwa jua upande wa mashariki ni kutokana na sayari kujizungusha kwenye muhimili wake (west-east), sio kwa sababu ya kulizunguka jua. Kwa hiyo kama hizo sayari za venus zinajizungusha kwenye muhimili wake kwa direction kama ya sayari dunia (west-east), then jua litachomoza mashariki kama hapa duniani. Ila sayari zingine hazijizungushi kwenye muhimili wake, hivyo hazina day and night.
 
Tigo tamu........acha uongo
Mwanaume anaruhusiwa kumuingilia mkewe mbele tu. Hiyo ndio sheria ya kiislam. Mtu ukimuingilia mkeo nyuma anayo haki ya kukudai talaka. maalun nyie msojua dini harufu ya mavi mnaiona bora kuliko harufu ya ubani. Ngojeni siku ya kiama muone adhabu mtakayopata. pumbaf zenu.
 
Je wajua kwamba siku ya wafanyakazi duniani tarehe 1 Mei kila mwaka ndio pia tarehe ilioasisiwa secret society iitwayo ILLUMINATI? Iliasisiwa tarehe 1 Mei 1776.
 
Je wajua Bara la Afrika na Bara la Amerika ya kusini hawajawahi kuandaa mashindano ya Olympic
 
Me nipo namshangaa huyo anayesifia huko katika mavi kuwa kutamu
 
Kwa taarifa yako ASALI ndio chakula pekee kinachoweza kukaa muda mrefu bila kuchacha.

Ni mimi Malezo kukuletea habari hii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…