Je, wajua? - Special Thread

Lete ushahidi wa kisayansi kuthibitisha hili.

unaujua ubongo mwanadamu na kazi unazofanya?.

unaposema anatumia kwa asilimia isiyozidi moja, anatumia kwenye nini?.

kwa mujibu wako 99% ya ubongo haitumiki je ni sehemu gani isiyotumika?.
Hata ukipewa ushahidi utakataa...coz we unapinga kila kitu..
 
Leonardo da vinci jina lake kamili ni

LEONARDO DI SER PIERO D' ANTONIO DI SER PIERO DE SER GUIDO DA VINCI

Huyu jamaa alikua na kipaji cha ajabu, alikua anachora kwa mkono wa kushoto huku ule wa kulia akiandika kwa wakati huo huo. Uchoraji wake ulikua ni next level na amechora picha nyingi maarufu.

Msome maana ana vitu vingi siwezi kuviweka vyote
 
Hata ukipewa ushahidi utakataa...coz we unapinga kila kitu..
Kama unanipa ushahidi wa kibailojia unaokubalika kuhusu ubongo kutumika kwa 2% tu kwanini nisikubali?.

Unasema mimi napinga kila kitu,hapana mimi napinga ninachokijua si kila kitu,hasa ukweli wa ninachokijua unapopindishwa.

Je katika huu uzi nimepinga kila kitu/kila post ya mwanachama?,au una maana gani unaposema napinga kila kitu?.

Mwisho ungetuwekea majibu kwa unachokijua kuhusu haya maswali.
 
Je, wajua mafisadi ndo walioifikisha Tz hapa ilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…