Je, wajua? - Special Thread

"ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi"
mara 26 kwa siku lakini idadi yao.......🙁🙁
 
Je, wajua kuwa muigizaji filamu wa Uingereza CHIPO CHUNG alizaliwa nchini Tanzania?

Mojawapo ya kazi zake ni kama kipindi cha televisheni yaani TV series inayojulikana ka CAMELOT.

Kama ulikuwa hujui, sasa umejua.
 
Dah kweli Mpwa wewe ni kicheche hahahhahaa asante kwa taarifa nzuri
 
labda wanatumia uzazi wa mpango
ha ha ha..
kauli mbiu yao nazani ni hapa mpango tu..
lkn nazani nature inahusika hapa maana hawa jamaa wangekuwa wengi kuku tungewalaza kitandani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…