Je, wajua? - Special Thread

vitu vingine viko katika ulimwengu wa roho, majibu katika ulimwengu wa mwili huwezi pata
 
Je unafahamu kuwa wimbo wa taifa la Greece ndio wimbo mfupi kabisa kuliko nyimbo za mataifa mengine?

Wimbo huu una stanza 158

Na japan wimbo wake ukiwa na line nne tu.

Lakini wimbo mrefu wa taifa ni wimbo wa URUGUAY ambao una zaidi ya dakika 5.
 
Je wajua movie ya kwanza ya ngono ilichezwa mwaka Novmbr 1896 nchini ufaransa?

Video hii ina urefu wa dakika 7 na haikuwekewa sauti.

Starring wa movie hiyo ni Louise Willy

Na Director wake alikuwa Albert Kirchner, Producer ni Eugene pirou.

Movie hiyo ilikwenda kwa jina la "Le coucher de la mariee au Bedtime for the Bride (The bridegroom's Delimma).
 

Attachments

  • 1469469918701.jpg
    26.8 KB · Views: 75
  • 1469469955896.jpg
    8 KB · Views: 77
kama kuna starring basi na jambazi alikuwepo tuambie ni nani..?
 
na ya kibongo ilikuwa mwaka gani
 
Hili swali litatoka kwenye paper ya form 4 mwaka huu section 2 (b)6 lina maksi 65!
 
"Mwanadamu mwenye heshima iwapo hana akili amefanana na mnyama apoteaye"
Wachunguze hao wanaopambana na maneno kabla ya vitendo ...
"Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Kama wanapambana kabla ya kuzuiwa basi ndivyo walivyo, wamejipambanua waziwazi.
Heri kijana maskini mwenye nguvu kuliko Mfalme mzee tajiri mpmv!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…