Je, wajua? - Special Thread

Kwa Hali ya maisha saiz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshana nipe ungo Niende zangu
 
Duniani lulu yetu kubwa na Maji kosa maji siku kumi uone kama utakunywa Almas! Hapo nipo utaamini creator ana makusudi
 
Attachments

  • 1482474571163.jpg
    7 KB · Views: 78
Je wajua kuwa Sayari ya Jupiter na Saturn hunyesha mvua ya Almas?
Huku Venus ikinyesha mvua ya Sulphuric acid pamoja na radi.
He!Kumbe kweli!!
Nilikuw nasubir wachangiaji wapinge lakn sijaona hata mmoja had sasa
 
He!Kumbe kweli!!
Nilikuw nasubir wachangiaji wapinge lakn sijaona hata mmoja had sasa
Ni kweli sema hakuingiliki! Ni marekani peke yao ndio wanaweza kuzichota hizo kitu magunia kwa magunia na kuyaleta duniani
 
Je wajua kuwa Sayari ya Jupiter na Saturn hunyesha mvua ya Almas?
Huku Venus ikinyesha mvua ya Sulphuric acid pamoja na radi.
Sijui.... na ni uongo uliotukuka km hadith za abunuasi...... marekani angekua kila siku anahangaika kutengeneza mitambo.. akaichote iyo almasi ..... almasi unaijua wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…