Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Asili ya Neno SEPTEMBER limetokana na neno la kirumi " SEPTEM" likiwa Linamanisha saba, maana kwenye kalenda ya kirumi september ulikuwa ni mwezi wa saba.
ab030997b818c49ba2735dbdd574fece.jpg

September ni mwezi wa Tisa kati ya Kumi na Mbili katika mwaka kwa Kiingereza ni mwezi pekee ambao idadi ya Herufi Zake ni sawa na namba ya mwezi huo yani mwezi wa tisa (September) na una herufi Tisa.
Kati ya Marais 43 wa Marekani Rais pekee wa Marekani ambaye amezaliwa mwezi September ni William Howard Taft (1909 - 13)
Vita vya pili vya Dunia vilianza mwezi September 1 1939 mpaka mwaka 1945.
Moja kati ya Tukio kubwa la Mauaji ya watu wengi kuwahi kutokea Marekani na Duniani kiujumla la shambulio la kigaidi lililoongozwa na Osama lilitokea Septmber 11.
Baadhi ya Jumbe ambazo zimewahi kuandikwa Kuhusu mwezi September hizi hapa
ba6653fea0d8bcc4a39e2b35f29700a3.jpg

26b164746f75ea7ced9053bd6e1362f4.jpg

b7f10465667850efba24a47bd1211503.jpg
 
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.

Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh 2500/= na tofali 1 la inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi Tsh. 1300/=

Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa siku (kipimo cha kawaida) maana yake unakunywa bia 1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650

Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe ni mnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau nyumba 1 au 2

Sasa ebu jiulize tangu umeanza bia hadi leo umekunywa nyumba ngapi?

Muhudumu ongeza bia. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daah nimekunywaa nyumba nying sana
 
Kwa mujibu Guiness mtoto mzito zaidi kuwahi kuzaliwa alikuwa na kilo 10.2 ambaye alizaliwa huko Italya mwaka 1955

Aleix Segura Vendrel wa Baecelona Hispania anashikilia rekodi ya kushikilia pumzi zake kwa muda mrefu kwenye Maji. Aivunja rekodi hiyo kwa kuweza kuzibana pumzi zake kwa dakika 24 na sekunde 3.45. ılikuwa mwezi Februari mwaka 2016.

Mtu mzito zaidi kuwahi kurekodiwa ni Jon Brower Minnoch wa USA ambapo alikuwa na kilo 635 mwaka 1978
 
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.

Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh 2500/= na tofali 1 la inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi Tsh. 1300/=

Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa siku (kipimo cha kawaida) maana yake unakunywa bia 1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650

Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe ni mnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau nyumba 1 au 2

Sasa ebu jiulize tangu umeanza bia hadi leo umekunywa nyumba ngapi?

Muhudumu ongeza bia. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe usiekunywa nyumba zako ziko wapi?
 
Je wajua mwanaume akianza kutembea anaanza mguu wa kushoto na mwanamke anatanguliza mguu wa kulia...

Kama hujui chukua na uanze kufanya research yako.
Hii ni kweli asee, lakin pale tu ambapo utakua hujajiweka kwann nisianze na upi, lakin automatically ukiamka tu lazma uanze na kusho kama ni Me
 
Je wajua kua Bill Gates hapotezi sekunde 5 kuokota dala 1000 aliyo idondosha, kwa sababu anajua ndani ya sekunde 4 anaingiza dola 1000
 
Je wajua kuwa public swimming pools zina mkojo wa lita 75 baada ya watu kuogelea?
 
Back
Top Bottom