Je, wajua? - Special Thread

Mod Weka Pia Hii Thread Pin Isipotee .. Watu wamekua wakihitaji Kuchangi lakini haionekani , na ndio maana unaona thread za Je Wajua Zipo Nyingi.

Verify hii kua Special Thread ..Watu wanajifunza Mengi.
 
1- Lita moja ya mkojo wa ng'ombe una thamani zaidi kwa mfugaji wa India zaidi ya lita moja ya maziwa.

2- Mbu wanaoambukiza malaria hawasogei karibu na kuku.

3- Australia inasogea 7cm kila mwaka kuelekea kusini.

4- Timu ya taifa (football team) ya Albania wana diplomatic passports
 
Mod Weka Pia Hii Thread Pin Isipotee .. Watu wamekua wakihitaji Kuchangi lakini haionekani , na ndio maana unaona thread za Je Wajua Zipo Nyingi.

Verify hii kua Special Thread ..Watu wanajifunza Mengi.
Naunga mkono hoja kua hii thread iwekwe kwenye Sticky Threads.
 
 
Mabilionea wanane matajiri zaidi duniani

1. Bill Gates (US): mwanzilishi wa Microsoft (utajiri wake $75bn)

2. Amancio Ortega (Spain): mwanzilishi wa Zara na mmiliki wa Inditex (utajiri wake $67bn)

3. Warren Buffett (US): mwenyehisa mkubwa Berkshire Hathaway (utajiri wake $60.8bn)

4. Carlos Slim Helu (Mexico): mmiliki wa Grupo Carso (utajiri wake $50bn)

5. Jeff Bezos (US): mwanzilishi na afisa mkuu mtendaji wa Amazon (utajiri wake $45.2bn)

6. Mark Zuckerberg (US): mwanzilishi mwenza na afisa mkuu mtendaji wa Facebook (utajiri wake $44.6bn)

7. Larry Ellison (US): mwanzilishi mwenza na afisa mkuu mtendaji wa Oracle (utajiri wake $43.6bn)

8. Michael Bloomberg (US): mmiliki wa Bloomberg LP (utajiri wake $40bn)

Chanzo: Orodha ya mabilionea ya Forbes, Machi 2016
 
Donald Trump no ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…