Je, wajua? - Special Thread

Wajua kuwa lugha ya kiarabu inaongoza duniani kwa kuwa na waongeaji wengi ikiwa na idadi ya watu milioni 170 ikifuatiwa na Kiingereza watu milioni 130 na Ufaransa watu milioni 115?.

Kiarabu? Na ki china je?
 
Je wajua mwanza ndio mkoa wenye kiasi kikubwa cha maji kuliko mkoa wowote hapa tz na singida ndio mkoa mkame kabisa
Sio kweli wew nadhani umesimuliwa Singida hakuna tatizo kubwa sn la maji kama Shinyanga ,Tabora.kwan singda watertable zipo karibu zaid ya mikoa mingine..japo haina mito kama moshi Arusha,rukwa mby,songea na iringa lkn kuna underground livers ambapo unaweza kusupply maji meng zaid hata vijijin..wilaya ya manyon pekee ndio ina shida ya maji lkn tatizo lk wekewa nguvu ya ziada mambo mazur
 
Hilo mbona nalijua tena ni kwa amri ya Queen Elizabeth
 
Mm nkajua labda wanagaiwa pesa
Kumbe ni kukojoa banaa.. Na wajisaidie kabsa haja kubwa Alaa!! [emoji3] [emoji3]
 
Mm nkajua labda wanagaiwa pesa
Kumbe ni kukojoa banaa.. Na wajisaidie kabsa haja kubwa Alaa!! [emoji3] [emoji3]
 
Je wajua kwa sheria hiyo na mimi ni ruksa kubaka wakojoaji wanawake wenye ujauzito ?
 
Je wajua jamiiforum iliundwa mwaka 2006 ikijulikana kama jamboforums na mnamo mwaka 2008 may jina likabadilishwa kuwa Jamiiforums ya leo!


Je wajua hawa member wafuatao watano ndiyo moja ya wamiliki wa kwanza kabisa wa account hapa Jamiiforums!
1. Maxence Melo -feb 10 2006
2. Invisible -Feb 11 2006
3. Kitila Mkumbo Feb 25 2006
4. Mkandara -Mar 2 2006
5. Mzee Mwanakijiji -Mar 9 2006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…