Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua Fidel Castro, kiongozi wa zamani wa Cuba amenusurika majaribio 81 ya kuuwawa na Marekani hasa CIA.
 
Je Wajua

'Operation Entebbe' ya 1976, iliyofanywa na makomando wa Israel wakishirikiana na Majasusi wa Mossad kuokoa mateka wa ndege waliohifadhiwa Uwanja wa ndege wa Entebbe, baadhi ya ndege za makomando hao zilipita mkoani Mara nchini Tanzania zikielekea Entebbe, Uganda wakati wa Operation.
 
Je Wajua

Robert 'Bobby' Kennedy kaka wa John F Kennedy na aliuwawa kwa kupigwa risasi kama alivyouwawa John F Kennedy. Robert Kennedy aliuwawa wakati wa akifanya kampeno za kuwania Urais. Enzi za uhai wake aliwahi kuwa Mwanasheria mkuu wa serikali ya Marekani wakati wa utawala wa kaka yake JFK.
 
Je Wajua

Mapambano makali zaidi ya Mchezo wa Ngumi kuwahi kutokea duniani ni haya yafuatayo;
1.Rumble in the Jungle lililofanyika Zaire mwaka 1974 kati ya Mohamedi Ali na George Foreman

2.Thrilla in Manilla lililofanyika Philipines Mwaka 1975 kati ya Mohamedi Ali na Joe Fraizer
 
Je wajua ulimi wa aina ya papa mkubwa kuliko wote una uzito sawa na wa Tembo mkubwa??? Kagoogle
 
Je Wajua...

Kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil kilichochukua ubingwa wa Dunia mwaka 1970 pale Mexico, kinaaminika ndio kikosi bora zaidi cha wakati wote yaani timu bora ya wakati wote.

Baadhi ya mastaa waliounda kikosi hiko ni Captain Carlos Alberto, Jaizinho, Tostao, Pele.
 
JE WAJUA,kuwa jamii ya wamasai ndiyo inayoongoza kwa kuwa na walemavu wachache mnooo na hata zeruzeru kuliko jamii zingine zote? Ni sawasawa na hawapo! "Tafiti kutoka kwa researcher muingereza aliyeishi Nairobi"
 
je wajua yule askali wa kiyahudi aliye mchoma yesu mkuki ikatoka damu na maji miaka zaidi ya elfu mbili bado anaishi mpaka leo na ataishi mpaka siku ya kiama

Hili nililisikia sanaaa ila sidhani kama kuna ushahidi huo
 
Je wajua Cleopatra aliyekuwa kiongozi Misri ndiye mwanamke mzuri/mrembo kuliko wote duniani pamoja na kuzaa watoto na hatatokea tena kama yeye? Source: soma Biblia takatifu.
 
Back
Top Bottom