Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Chakula cha ubongo

Je wajua?

1. Mbu wanafurahi sana kuuchezea mwili wa mtu aliyetoka kula ndizi

2. Wanaume wa calibri huko kusini mwa australia husalimiana kwa kutingishana sehemu zao za siri badala ya mikono

3. Wakati wa mazishi ya mgunduzi wa simu sir alexander graham bell mitambo yote ya simu marekani ilizimwa kwa dakika moja.

4. Kanisa katoliki limeweka historia ya kuwa na mtakatifu alyekuwa na uwezo wa kuonekana sehemu mbili kwa wakati mmoja (mult location)

5. Ulaji wa ini la kuku mara kwa mara laweza kubadilisha group la damu toka group a kwenda o.

6. Wanadamu wote tunaongezeka urefu sentimita moja kila asubuhi na kurudi katika hali ya kawaida kadri muda unavyozidi kusogea.

7. Ng'ombe huongeza utoaji wa maziwa wanaposikiliza muziki ukiwa jirani na wanapokamuliwa.

8. Mbu ana meno 47.

9. Tembo anasikia sana ukiongea kwa sauti ya chini.

10. Simba akiwa jirani akinguruma sauti yake husikika kama mtu anayepiga debe au bati.

Hiyo ni kumi kutoka kwangu.
 
2. Wanaume wa calibri huko kusini mwa australia husalimiana kwa kutingishana sehemu zao za siri badala ya mikono


Hii ni uongo.

Hakuna kabila la Calibri lililowahi kuishi Australia.

Kabila linalokaribiana walau kimatamshi na hili ni Walpiri (wanapatikana Australia Kaskazini) ila hawana hiyo mila ya kusalimiana hivyo.

Hizi ni katika zile facts ambazo mtu anazusha halafu kwa kuwa hakuna anayefanya research zinavuma na 'kuaminika' kuwa ni ukweli.

si kweli kabisa...mb*o tangu imekuwepo ni sehemu ya siri..hata wanyama wanazo lakini hazipo nje nje kiasi hicho.


Kumbuka, "Unaweza kucheza na matiti ya mama yako lakini si korodani (au mb*o) za baba yako."
 
Hii ni uongo.

Hakuna kabila la Calibri lililowahi kuishi Australia.

Kabila linalokaribiana walau kimatamshi na hili ni Walpiri (wanapatikana Australia Kaskazini) ila hawana hiyo mila ya kusalimiana hivyo.

Hizi ni katika zile facts ambazo mtu anazusha halafu kwa kuwa hakuna anayefanya research zinavuma na 'kuaminika' kuwa ni ukweli.

si kweli kabisa...mb*o tangu imekuwepo ni sehemu ya siri..hata wanyama wanazo lakini hazipo nje nje kiasi hicho.


Kumbuka, "Unaweza kucheza na matiti ya mama yako lakini si korodani (au mb*o) za baba yako."

Kaskazini ipi chief? Ql, Gold Coast au Cairns?
 
a47211cee885689f867cec129e6cbf06.jpg
 
JE WAJUA UMBO LAKO LINATEGEMEA MWEZI ULIOZALIWA ?
Kama ni ajabu vile, jinsi umbo lako lilivyo limetokana na siku yako uliyozaliwa. Ili kujua hii njia inakupasa kujumlisha tarehe, mwezi na mwaka uliozaliwa ili upate tarakimu ya mwisho ya namba.
Jinsi ya kujua njia hii, kwa mfano umezaliwa 12.05.1990, unatakiwa ufanye hivi: 1 + 2 + 0 + 5 + 1 + 9 + 9 + 0 = 27 = 2 + 7 = 9.

Hii ina maana kwamba hiyo tarakimu ya mwisho ni tarakimu inayoelezea umbo la mwili wako ulivyo ambayo ni 9 katika mfano huu. Fanya hesabu hii ili uweze kujua namba yako na umbo lako binafsi; ukipata kati ya mojawapo ya namba hizi, www.mtembezi.com inakupa maana yake kama ifuatavyo:

Namba 1
Watu hawa wanakabiliwa sana na kitambi kutokana na ukweli kwamba metabolism yao inafanya kazi kwa kiasi kidogo sana na ipo chini sana.

Namba 2
Watu hawa wananyemelewa sana na kitambi ila mara nyingi watu hawa wanapendelea kufanya diet. Hata hivyo watu hawa wanakosea katika diet yao kwa kutojua chakula kipi hasa cha kula wakishikwa na njaa. Tahadhari kwa watu hawa inawapasa kutumia sana matunda, mboga za majani na mazoezi ya miili yao.

Namba 3
Watu hawa wana mtazamo wa kupenda sana mambo ya dunia na hii inachangia mzigo wa kiroho kuwaandama na kubadilisha uzito wao kwa ujumla.

Namba 4
Watu hawa wanashauriwa kujihusisha sana na mazoezi ya miili yao, kwa sababu ukosefu wa mazoezi kwa miili yao itawasababishia njaa na tamaa, ambayo kwa upande mwingine itasababisha mkusanyiko wa mafuta mwilini.

Namba 5
Watu hawa wanajua unene utayaharibu maumbo yao. Watu hawa wapo na maumbo madogo kiasi, wanapenda kuyafurahia maisha kwa kuzuia mkusanyiko wa mafuta katika miili yao.

Namba 6
Watu hawa wanachukuliwa kama watu wa bahati, wenye maumbo sawia, wanakula kwa kiasi na kwa kuyatunza vizuri maumbo yao.

Namba 7
Watu hawa kwa kawaida wanaongezeka uzito kutokana na masuala ya hisia, ambapo wakiweza kuwa na mahusiano mazuri na ya kudumu na wapenzi wao itawasaidia katika maisha yao.

Namba 8
Watu wa kundi hili wanashauriwa kujifunza kuacha mambo mengine yapite na kusamehe, kama wakiwa na hasira za mara kwa mara itachochea kuongeza mkusanyiko wa mafuta na kuongezeka kwa uzito.

Namba 9
Hatimaye, watu hawa wanakabiliwa na tishio la kitambi na ongezeko la mafuta. Kupunguza uzito kwa watu hawa mara nyingi inakuwa vigumu. Kuzuia ongezeko la mafuta kwa watu hawa ni jambo la muhimu na inawapasa watumie matunda yenye tindikali.

source: JE WAJUA UMBO LAKO LINATEGEMEA MWEZI ULIOZALIWA ? | Mtembezi
 
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.
1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.
2. Tembo ana uzito wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.
9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA
 
Ana wanawake wawili mpk wanne..! he! kumbe wanawake pia wanadate na tembo!!!
 
no6... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ingekua ndo wanaume wa kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninheacha mapenzi
 
Back
Top Bottom