Ukipigwa radi ngozi yako itapata moto hadi kufikia degree centigred 28elfu. Hili joto ni zaidi ya lile joto la uso wa dunia
Itachukua miaka elfu 70 kwa roketi kufika kwenye nyota iliyokaribu na dunia.
asteroids ilidhuru dunia na kuua ma dinasaur duniani. Lakini hakikuua jamii mbalimbali ya chura au salamander. Hakuna anayejua kwanini, hata mamba na kobe wali survive.
Ukichimba vizuri kabisa katikati ya dunia, halufu ukashusha tofali ndani. Itachukua dakika 45 kufika chini _ mile 45 kwenda chini.
Asali ni chakula pekee kinachotumiwa na binadamu ambacho hakitoki. Yaani kikiingia mwilini, chote kinaenda kurutubisha mwili.
Kila unapo piga chafya. Moyo wako wasimama kwa sekunde.
Neno “set” lina tafsiri nyingi kuliko neno lolote la kiingereza.
Huko space unaambiwa wale jamaa wanaoenda huko mwezini, hawawezi kulia kwasababu hakuna gravity.
Hummingbirds (siwajua kwa kiswahili) ni ndege pekee wanaoweza kupaa kinyuma nyuma.
Wanasayansi wenye kamera za mwendokasi, wameona kiwa tone la mvua haliko katika shape kama chozi au tone la maji ya bomba. Ila yanashape kama maandazi ya hamburger.
Mwaka 1907 watafiti wa chuo kikuu cha chicago walijua kwamba rangi ya njano ina tambulika zaidi kuliko rangi yeyote. Na ndio maana john hertz ambaye ni mvumbuzi wa taxi za njano.