Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Je wajua Mimi ninamatheory kibao ya hela ila narandaranda tu mtaani sina kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Je wajua Mimi ninamatheory kibao ya hela ila narandaranda tu mtaani sina kazi?
Utapata tuJe wajua member wote wa jf wana magari kasoro mimi tu.
Je wajua ukiwa bar kadiri pombe inavyopanda kichwani ndio unatamani wahudumu
Tena hilo kathibitiha mwenyeweJe wajua kuwa JIWE ni Kichaa?
HahahahaJe wajua kuwa Sisonji ni chizii🤣🤣
Me wajua...mwanaume mwenje pmb moja ina efficacy kubwa kuliko yule mwenye mbili..?!
PAMOJA MKUU AGRESIVE ONGEZEA YA YAKO MKUU NA SIYE TUJUEtumekupata mkuu
xawa bwanaNadhani namba 5 inawafaa sana wanaohitaji kupunguza uzito, ila mimi itanibidi niache.