Sophia John
Member
- Aug 23, 2018
- 35
- 7
daah;nimekusoooma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAWA MKUU LUKUNGANO,Nadhani namba 5 inawafaa sana wanaohitaji kupunguza uzito, ila mimi itanibidi niache.
SAWA MKUU KUNTA NSHAJUA SASA JAPO KAMA VILE HAMNA KAUKWELI HAPOOOJe wajua kwa siku jamii forums members wana type maneno milioni moja
WA MKUU KATUMBA NAIWEKA HIYO KWENYE LONG TERM MEMORY HAHAHAANamba 6 ongeza......Bashitedous,viwandordous.........! 😛😛😛😛
je wajuwa JF ina member zaidi ya laki 5???PAMOJA MKUU AGRESIVE ONGEZEA YA YAKO MKUU NA SIYE TUJUE
ILA WANAUME NDO TUMEZIDI MKUUNo 9 we acha tu !! Hata hao wanaonawa wanaotumia sabuni ni asilimia inayochungulia sifuri . Hata ukitumia sabuni wenye makucha marefu sabuni inapenya ?
NSHAJUA MKUU AHSANTE KWA KUNIJUZA /KUTUJUZAje wajuwa JF ina member zaidi ya laki 5???
Je wajuwa jamii Jf ni mtandao pekee ambao huwezi kubadili jina lako,kufuta uzi uliotuma bila msaada wa mods??
Mimi nimefanya utafiti ila wewe hujafanya na unasema hamna ukweli au ùlitaka mpaka mzungu aseme mkuu?SAWA MKUU KUNTA NSHAJUA SASA JAPO KAMA VILE HAMNA KAUKWELI HAPOOO
SAWA MKUU KUNTA KINTEMimi nimefanya utafiti ila wewe hujafanya na unasema hamna ukweli au ùlitaka mpaka mzungu aseme mkuu?
Tz siyo nchi ya amani1;MAZIWA YA NGAMIA HAYAGANDI.,
2:KERENGE'NDE ANA MIGUU SITA LAKINI HAWEZI KUTEMBEA.,
3:MAMBA HAWEZI KUSOGEZA ULIMI WAKE.,
4:CHURA HAWEZI KUMEZA KITU AKIWA AMEFUNGUA MACHO.,
5:BUSU LA DAKIKA MOJA LINAUNGUZA KALORIE 26:
6:KUNA MANENO MANNE TUU KWENYE LUGHA YA KIINGEREZA YANAYOISHIA NA 'DOUS' ' (NAYO NI : hazardous, horrendous, stupendous and tremendous)
7:NGURUWE HAWEZI KUTIZAMA JUU ANGANI KAMWE,.
8:JINA BRAZIL LIMETOKANA NA MTI,.
9:ASILIMIA 42 % YA WANAUME NA ASILIMIA 25% WANAWAKE HUWA HAWAOSHI MIKONO BAADA YA KUTOKA CHOONI,.
10:WADUDU WOTE WANA MIGUU SITA: JICHO LA MBUNI NI KUBWA KULIKO UBONGO WAKE
ONGEZA NA YAKO NA SISI TUJUE