Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

*Je wajua?*

-Ikulu ya magogoni ilikuwa ni Msikiti na boarding(Zawiyah) ya waisilamu waliotoka nchi mbali mbali za Afrika Mashariki na kati (Tanganyika, Congo, Malawi, Mozambique, Uganda, Burundi, Rwanda) kuja kusoma na msikiti huo kama ulivyo hii leo uliyojengwa mwaka 1865 na pakaitwa *Dar Us Salaam* na katika lango kuu pameandikwa ayah ya 46 surat hijr isemayo

*Udkhulu-ha bi-salamin aminina*

-Je wajua kwamba majengo ya Ocean Road Cancer Hospital yalikuwa ni majengo ya msikiti na boarding ya vijana na wazee waliokuja kusoma Dar Us Salaam na bado muonekano wake ni ule ule

-Je wajua Kwamba St Joseph Cathedral ilikuwa ni jengo la msikiti na ni kanisa pekee ambalo lina Qubah na limeelekea Qibla

-Je wajua Kwamba pale mnara wa saa(Clock Tower) ilikuwa kuna msikiti na makaburi ya Masharifu na pale mnara wa saa kuna kaburi la Sharif Atwaas mpaka hii leo kaburi hilo lipo wajerumani walishindwa kuliondoa?

*MAJENGO HAYA YOTE YALITEKWA NA WAJERUMANI NA KUFANYWA MAJENGO YA SERIKALI NA PALE OCEAN ROAD KUFANYWA HOSPITALI NA MAJENGO HAYA HAYAKUJENGWA NA MJEREMANI*

Khutba ya Al-Marhum Sheikh Zubeir Ibn Yahya Ibn Mussa Al-Kasaju Al-Qadiriy (Rahimahullah)
Ahsante kwa kuinyoosha historia yetu. Je nini maana ya maneno 'Udkhulu-ha bi-salamin aminina'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INGIENI HUMO KWASALAMA MLIOAMINI

(Yaani hivyo ndivyo wataambiwa watu wa peponi na Allah)

Sent using Jamii Forums mobile app

Maneno hayo yameandikwa kwa kiarabu kwa kuchongwa ktk ubao wa lango
IMG-20190313-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe hyo cathedral nenda karudie kusoma ilijengwa na nani na kipindi hicho inajengwa hakukuwa na jengo lolote pale hujui kuwa karibu robo tatu ya eneo la kurasin hadi posta ilikuwa ikimilikiwa na watawa wa kibenedictine na ndio waliojenga hyo cathedral


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hello African

Kujifunza kutoka kwa mwengine ni njia moja wapo ya kukupa maendeleo katika mambo yetu ya msingi.

Kupata ujuzi si lazima uingie darasani ila mambo unayoyaona na kusikia yanaweza kuwa msaada kwako kukupa mafanikikio na kuwa chanzo muhimu katika maendeleo yako hata kwa watu wengine
Inawezekana unayajua wewe ila wengine hawayajuwi,..

Je wajua?

1.Nchini marekani kutabasamu ni ishara ya salamu.(unapopishana na mtu ukiona anatabasamu bas jua anakusalimia,na wewe unatakiwa kutabasamu).

2.Nchini marekani dala dala,migahawa,na maduka hutoa hudumu ya WI-FI kwa wateja wao ili kuboresha huduma zao(fanya kama ndo tanzania,mwendo kasi,migahawa,rock mall kuna huduma ya wi-fi naisi wateja wangekuwa wengi na kujipatia kipato.

3.Nchini marekani kwenye taasisi za serekali huwa kuna huduma mahalumu kwa wateja wao wasiojua kingereza,mfano mimi najua kuongea kiswahili,watanionganisha na mtafsiri kuniftaria tunachokiongea.,ila hii hata bank ya WELLS FARGO nchini marekani utoa huduma hii.

4.Chini marekani hata njia za waenda kwa mguu na njia za baiskeli utakuta alama za bara barani na zipo njia maalumu za baiskeili.(nchi yangu congo tukifikia hatua hii,tutakuwa mbali sana kimaendeleo)

5. Maduka ya nchini marekani unauwezo wa kujiudumia wmenye,haina aja ya kupanga foreni..yaani baada ya kushop unaeenda kwenye mashine unascan ulivyonunua,baadae unaweza kuweka kadi yako ukalipa na kuchukua risiti ukasepa,,(huduma hii nzuri,inaweza kupa wateja wengi,haitaji foreni,kama rock mall ingekuwepo hii,ingewavutia watu wengi na kuwa na wateja wengi)

6.Vyeti vya nje ya nchi marekani havitambuliki,ila hutoa fursa kwa watu kurenew vyeti vyao ili vitambulike,na kuna huduma ya kupata diploma ili kujiunga na vyuo vya juu kwa wageni.(huduma hizi ni ngumu kuzipata mataifa mengine ila marekani wanajua maitaji ya watu wengine,ndomana pakawa kimbilio la wengi.hata tanzania mkifnya hivi,mtapokea watu wengi wanaoitaji kuja kuishi nchini mwenu.

7. Nchini marekani ndo nchi pekee yenye waafrica wengi na ni nchi pekee yenye kutimiza malengo ya waafrica wengi wanaoishi nchi marekani na ni kimbilio la watu wengi kuja kutafuta maisha marekani,(marekani unaweza kuingiza dagaa kutoka africa,lakini australia lazima uwe na vibali mahalumu,marekani hutoa haki sawa kwa wote,australia humthamini sana mtoto na mwanamke)..kama una ndugu marekani unaweza kupiga hela na kuingiza mizigo..,sheria sio ngumu kama mataifa mengine.

Leo tuishie hapo.maswali kwa ufupi.

NB:huduma tajwa hapo juu africa zinaweza kuwepo lakini,huduma hizo zinawenyewe,na sio maarufu sana,ila marekani ni huduma za kila siku..na sisi tukiziweka kwenye jamii yetu inaweza kuwa ni sehemu ya maendeleo kwa jamii yetu.
 
MBNA hio huduma ya wifi hata hapa TANZANIA zipo sema wifi za huku utakutana na ki alama cha kufuli (security) yenye password kali au kwamfano ikikukubalia kuconnect itakwambia (no internet) japo kamnara cha wifi kipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBNA hio huduma ya wifi hata hapa TANZANIA zipo sema wifi za huku utakutana na ki alama cha kufuli (security) yenye password kali au kwamfano ikikukubalia kuconnect itakwambia (no internet) japo kamnara cha wifi kipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
WI-FI zipo sikatai lakini kwa watu maalumu,lakini wenzetu,zimewekwa wazi kwa kila mtu,mfano,utaenda kupanda dala dala utakuta WI-FI,inapoishi mimi kuna WI-FI ya apt zima,muda wote iko wazi.sasa mambo hayo tz bado.lakini ni vizuri na sisi tukayafanya kwa faida ya maendeleo.hata wewe mwenye nyumba itakusaidia kuwavutia wateja kiuduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua mambo trivial kama haya ni kujaza ubongo bure tu. Useless
 
Back
Top Bottom